Karibuni wadau wa kilimo tufaidike kwa pamoja na mradi wa pilipili kichaa aina ya african bird eye chilli (abe)

Na gharama zake mpka kuvuna kwa hekari moja inagharimu shngap
Kwa ekari moja gharama ni shamba,mbolea,na mbegu

Ambapo mbegu gharama yake ni 320,000/= mkopo au 200,000/= cash,
Mbolea za mokusaku kwa ekari gharama ni 85,000/=
 
Kabla hamjaniuzia mnakuja kugagua shamba au inakuaje? Mtajuaje kama mm sio mkulima, alafu unaruhusiwa kununua kiasi gani?
 
Kabla hamjaniuzia mnakuja kugagua shamba au inakuaje? Mtajuaje kama mm sio mkulima, alafu unaruhusiwa kununua kiasi gani?
Tuna field officers kila maeneo ya uzalishaji ambao huwa pamoja na mkulima wakati wote wa uzalishaji,

Unaruhusiwa kununua kiasi ukitakacho cha mbegu kutokana na uhitaji wako na sisi kampuni tutanunua mzigo wote utakao zalisha
 
Pia kwa sasa Tanzania hatuna bodi inayosimamia zao hili hivyo hakuna bei elekezi kutoka serikalini,hivyo mnunuzi anapanga bei kwa kuzingatia soko la nje

Ambapo kwa sasa kuna demand kubwa sana ya pilipili kichaaa


Karibu sana mtaji wa kuanza kilimo hik si mkubwa lakini faida ni nyingi
Mna nunua je kwa wakulima kwa bei ya kilo 5000 wakati kwasasa zao hili linafika mpaka 8000 per kg
 
Back
Top Bottom