Karibuni tujifunze: Question tags

Asante sana uu ugonjwa was watu wengi, watu wengig sana hawajui kutengeneza question tags wengi sana tena wengine wasomi kabisa uwa nasikia napotezea.
Ni kweli kabisa, Jana nimemsikia msomi katumia question tag nilishtuka kidogo maana aliongea kitu ambacho hakiendani. Nikapata wazo kwa nini tusijifunze kuhusu hizi, ndipo nikaamua kuja na hii maada.
 
Back
Top Bottom