Karibuni Supu ya kichwa cha mbuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni Supu ya kichwa cha mbuzi

Discussion in 'Entertainment' started by Quemu, May 23, 2009.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Leo nilienda machinjioni kununua mbuzi mzima. Jamaa wakataka kunibania kichwa na mazagazaga mengine. Ikabidi niwakomalie.

  Sasa hivi nipo hapa najichana supu ya kichwa cha mbuzi. Aisee sijawahi kula supu ya kichwa cha haka kanyama. Kumbe kametulia ili kinoma.....mh mh mhhhhh!!!!
   
Loading...