Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 4,726
- 5,442
inshallah panapo majaaliwa....Mie nimepapenda ntakuja kutembea siku moja na shosti wangu mimi49....
inshallah panapo majaaliwa....
Mkuu Q Man
wapi hiyo maana A/C hapo sio muhimu tatizo ni namna ya kufika Home
usijali ntakuchukua niende nawe!!Utazama huko mamy uniache yatima mwenzio!!!!!
Picha haionekani kwa mbele kama kuna mchanga au lah...Btw hakuna uwezekano wa kufika kwa ngalawa?Hapo unafika kwa kuogolea. Kama hujui inabidi uanze mazoezi sasa.