Habari wadau!
Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini.
Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
nifafanulie hapo kwny fixed deposit nbc wanatoa interest ngp na kwa muda gani?Uanze na kuweka million 50 UTT....den weka million 30 fixed deposit nbc wanapercent nzuri ya interest....alafu million 20 izungushe kwa businwss ulionayo kama huna business usianzishe business itaisha hyo pesa..kanunue ardhi uweke mifugo
inalipa sana acha kuwaogopesha wengine waogope wasipate pesaMkuu kwa mtaji wa milioni 100 Forexi na bitcoins kuingiza milioni 10 kwa wiki ni kama unamsukuma mlevi🤣🤸🐒
Angalizo : Kaa mbali na biashara za kudanlodi pesa!
Hivi kuna watu wanaofanya kilimo cha aina hiiKaa mbali na huko ndugu yangu utafunguliwa faili milembe...bora ufanye kilimo uanze na mtaji mdogo na ufanye mwenyewe sio kilimo cha simu, upo mjini unawapigia vijana utalia!
Ktk mawazo niliyosoma humu!! Hili ni wazo la watu hohehahe siku zotechukua asilimia KUMI ya hiyo pesa peleka Katoe fungu LA KUMI...then mshirikishe MUNGU katka wazo ulilokuwa nalo..
Hii ndio biashara gani mkuu??Angalizo : Kaa mbali na biashara za kudanlodi pesa!
Duh.Kwa mwaka 12%_14%
Tupia Jicho Government Bond.. Unapata Riba ya 15.95% kwa mwaka na hakuna kodi unayolipa ila kwa investment yyte chini ya 3yrs unafaa kulipa 10% kma withholding tax.Duh.
Hii imenifanya nifikirie. Nikihamua kukopa pesa kwenye makampuni yanayo kopesha Ulaya. Mfano hapo chini moja ya supermarket kubwa ulaya wanakopesha kuanzia APR 2.9. Halafu nikaweka kwenye fixed akaunti hapa nyumbani nitakuwa ninalamba 12% mpaka 14%. Ni biashara nzuri.
Interest kwa mwaka ya mkopo wa £25,000 ni £ 289.24
Na fixed account uliyoweka £25,000 kwa 14% ni £3500.
Kwa hiyo £3500 - £289.24 = £3210.76(faida)
Lakini kuna vizingiti vyake. Mojawapo mkopo ni monthly instalments.
View attachment 1867687
Hapa ukirud
Zipo nyingi vijana wataalamu wa IT wanazijua wanakuambia nipe hela tu halafu kwa mwezi utakuwa unatengeneza kiasi fulani...wengine wanafanya forex, cryptocurrency...unakuwa unapata hela tu bila kutoa jasho...ukiona hujazielewa hasa zinavyofanya kazi, wewe tulia tu jipe muda uelewe risk zake kabla ya kutumbukiza pesa ya kutoshaHii ndio biashara gani mkuu??
Asante mkuu. Nitaingia maktaba kujipatia elimu zaidi.Tupia Jicho Government Bond.. Unapata Riba ya 15.95% kwa mwaka na hakuna kodi unayolipa ila kwa investment yyte chini ya 3yrs unafaa kulipa 10% kma withholding tax.
Wazo bora... kabisa.Kwa haraka sana ningefanya hivi. 100M nanunua Bond za miaka 25 hapa nauhakika wa kupata 15.95M kwa mwaka x miaka 25 na baada ya hapo principle amount inarudishwa. Ila pia kwa kununua tu hiyo bond naweza kuitumia kama dhamana kupata mkopo hawa wa 80% so naweza kukopa 80M nayo nikainunulia bond na nikatumia return za M100 na M80 kulipa mkopo na baada ya miaka michache nakuwa nimemaliza mkopo wote na kubaki na kipato cha 28M ambayo naweza kuwa nakula 2.3M kila mwezi bila kufanya kazi yeyte.
Mkuu hii ninaelewa vizuri. Fraudster maarufu Bernard Lawrence Madoff ametutoa tongo tongo wengi.Zipo nyingi vijana wataalamu wa IT wanazijua wanakuambia nipe hela tu halafu kwa mwezi utakuwa unatengeneza kiasi fulani...wengine wanafanya forex, cryptocurrency...unakuwa unapata hela tu bila kutoa jasho...ukiona hujazielewa hasa zinavyofanya kazi, wewe tulia tu jipe muda uelewe risk zake kabla ya kutumbukiza pesa ya kutosha