hivi ilikuwaje uitwe mpunga???we ndo huyo mteja?
hilo ni jina la ukoo fulani huko umakondeni................ we mtanzania kwanihivi ilikuwaje uitwe mpunga???
Mmmmh mnakoelekea?hilo ni jina la ukoo fulani huko umakondeni................ we mtanzania kwani
aisee ni kweli ni jina la ukoo ndugu ukipenda google hili jina yatakuja kibao ngoja nikusaidie kugoogleMmmmh mnakoelekea?
yep maana anauliza imekuwaje naitwa hilo jina as if yeye ni mkenyaUmenishtua pale ulipouliza taifa lake!
Haaaaaaaaaaaaaaa.... basi sawa!yep maana anauliza imekuwaje naitwa hilo jina as if yeye ni mkenya
wote mpunga tu,...aisee ni kweli ni jina la ukoo ndugu ukipenda google hili jina yatakuja kibao ngoja nikusaidie kugoogle
unaona mkuu hili ni jina la ukoo kama mengine hope now umeelewa
wasiwasi wake tu, yeye kashindwa tofautisha kati ya MPUNGA na PUNGA, Kwa hiyo alifikiri wewe ni PUNGA, yaani waliwa.aisee ni kweli ni jina la ukoo ndugu ukipenda google hili jina yatakuja kibao ngoja nikusaidie kugoogle
unaona mkuu hili ni jina la ukoo kama mengine hope now umeelewa
Duh, hilo jina.hilo ni jina la ukoo fulani huko umakondeni................ we mtanzania kwani
Analiwa kweli si unamwona kabisa ni "ke"wasiwasi wake tu, yeye kashindwa tofautisha kati ya MPUNGA na PUNGA, Kwa hiyo alifikiri wewe ni PUNGA, yaani waliwa.