Karibuni Mahafali: Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi!

Kama zilivyo shule za kata,MUCCOBS nayo ni chuo cha kata,anayebisha anithibitishie ni kwanini huyo jamaa aseme ushirika ni Harvad of Africa.

anajaribu kufanyia promo chuo chake. Anyway, mungu akujalie ufike mbali.
 
Huu nao ni ufisadi pia,kama mwanachuo anashindwa kutambua hata hadhi ya chuo chake,jamii itegemee nini toka kwake? Ushirika Moshi kufananishwa na Harvad University haiingii akilini hata kidogo kwa Mwanazuoni makini.
 
Hizi threads za kuvisifia vyuo kwa njia mbali mbali zinaboa sana. Mara MUCCO.. MARA UDOM MARA MZUMBE. Chuo hata kiwe kizuri sana lakini kama wewe Kilaza bado haisadii. Hata pale UDSM pamoja na kuwa kikongwe kwa level ya kibongo bado huwezi fananisha na HAVARD. UDSM nacho kimetoaa watu wazuri na vilaza wengi. Wengine tunawaona upeo wao ulivyokuwa mdogo kwa mfano WANASIHASA nk
 
Hiki si ndio kile chuo wavulana wanatongoza wanafunzi wa Mzalendo shule iliyooko ndani ya chuo? Na mademu wenu si wale wanajiuza Malindi na La liga?! Tangu lini Havard pakawa na vibanda vya mbao vya kulia chakula?! Hicho chuo ni cha kata ndio maana hata ndani ya chuo kuna shule ya sekondari ya kata.
 
Hah hah mnatukanana na vyuo vikuu venu!
Mdau mtoa uzi hongera kumaliza, umemaliza nini hapo? degree ya uhasibu?
 
dah basi wakubwa lengo lake lulikuwa kuja kuwaalika mahafali ya ushirika mbeya
 
Back
Top Bottom