Karibuni mabingwa wa kuchapia utupe mchapio wako

Niletee maji kwenye kabuli (Bakuli)
Hii alichapia mama yangu tulicheka mpaka basi
 
Wee mato njoo ujipime yeweyewe
Wee matokeo njoo ujipime yeboyebo hii alikua mama Fulani akimwambia mwanawe matokeo
 
Nina makampuni mengi ya vitabu dar - nina magambuni mengi ya bitabu taa

nyambar nyanywine mbunge tarime 2010-2015 wakat wa kampen
 
kuña siku mama alinambia "lete ule mchicha uliopikia sufuria jana" badala ya sufuria iliyopikiwa mchicha jna
 
Back
Top Bottom