Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Id gani wakati mwezi haujaandama??Wapendwa Karibuni pilau ya Idd Kwamtogole kuanzia vs a a saba mchana.
mie mpenzi wa bagia za kunde na vileja hakikisha havikosekaniKabisa.
Sawa. Nitapita hapo kwa sababu mimi nakaa hapa manjunju.Utakapoandama
Nipo hapa jirani kabisaaa, hapa POPOBAWA TRANSFORMER, weka hapa gugomapu!Wapendwa Karibuni pilau ya Idd Kwamtogole kuanzia vs a a saba mchana.
Mashallah ,Ngoja nikitoka kuswali iddy ntajisogeza hapo,Usual I mahanjumati na vitobosho kwa sana tu
Kwa Mtogole kuna mwezi wa kwao peke yao, hauusiani chochote na mwezi huu wa dunia hiiMwezi ukiandama
Ukija simu zako acha huko huko masaki kwenuNitoke town niingie chaka huko kufata pilau.... Uswazzz