WAo hawakuacha kujiita WAZANZIBARI hata siku moja. Wanajiita WATANZANIA wanaposaka hati za kusafiria tu. Huku bara tutabaki ni WATANZANIA tu.mkuu tanganyika lazima irudi ...Tanzania ina chembechembe za Zanzibar
kweli kabisa midini yenyewe ya watu huko watu huku wanajifanya wanazijua ingekuwa amri yangu futilia mbaliHaya ni majina tu. UKRISTO wenyewe wanauweza basi! Ukristo na Uislaam kazi ngumu sana. Wengi tumebaki majina tu kwa ajili ya utambulisho. Dunia ya leo kumkuta Mkristo au Muislaam wa kweli ni nadra sana.
Hivi wakati wa vurugu za Mwembechai ni Mwalimu ndie alikuwa Rais wa JMT?hahaha. Nikisoma kitabu cha mwembechai kiling. Naona siku ya 14/10 ni siku ya idi kwangu
Hivi wakati wa vurugu za Mwembechai ni Mwalimu ndie alikuwa Rais wa JMT?
Kama mitumba ni nguo nzuri fine! Mwalimu alianzisha viwanda vingi sana vya nguo. Tukavitafuna bila huruma.nakumbuka Mwinyi ndio alioutafanya watanganyika tuanze kuvaa nguo nzuri na kuacha kupanga foleni za kupigania mchele na unga. Sioni haja ya Kumenzi Mwalimu Nyerere
Kama mitumba ni nguo nzuri fine! Mwalimu alianzisha viwanda vingi sana vya nguo. Tukavitafuna bila huruma.
Ungejua UKATOLIKI unavyochukiwa kule Uganda usinge-comment hivi! Baadhi yenu mnamwongelea Mwalimu Nyerere kweli? Mnayoyasema juu yake mnayatoa wapi? Kasumba ya ajabu sana hii!mkuu. mwalimu alitulisha Dona manjano kwa sababu tu ya Kwenda Kuondoa utawala wa Muislam huko uganda ili kulifanya kanisa katoliki liwe na Nguvu Afrika ya Mashariki. Hadi leo tz imekubwa na Laana ya UMASKINI
WAo hawakuacha kujiita WAZANZIBARI hata siku moja. Wanajiita WATANZANIA wanaposaka hati za kusafiria tu. Huku bara tutabaki ni WATANZANIA tu.
names zipi mkuumbona sijaona zile common names za kila siku
Ungejua UKATOLIKI unavyochukiwa kule Uganda usinge-comment hivi! Baadhi yenu mnamwongelea Mwalimu Nyerere kweli? Mnayoyasema juu yake mnayatoa wapi? Kasumba ya ajabu sana hii!
Mbona sijaona zile common names za kila siku
wekeni angalao mzee mmoja wa makamo
Tupende mabadiliko, tukiwasikiliza akina Dr Lwaitama kila siku hatutapata mawazo mapya. Mimi kwa mfano nilisoma na Ester Wasira ana hoja nzito sana. Nadhani tuwape nafasi na tuanze kulea kizazi kipya kitakachochukua nafasi za akina Prof Issa ShivjiOrodha ya wazungumzaji inakatisha tamaa!!
Labda kama ni kongamano la vijana tu..!!
Ndugu jaribuni kurusha hata kwenye Tv mojawapo ila hat sisi wa huku mikoani tuweze kucheki kama itawezekana.UDASA & ITV
Wanawaletea
Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere
Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere?
Tarehe: Jumapili 14 Oktoba 2012
Muda: Saa 8.00 mchana hadi Saa 11.30 jioni(2.00pm-5.30pm)
Ukumbi: Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Wazungumzaji Wakuu
1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule
Wote Mnakaribishwa