We G. mafwili, post ya kwanza huwa tunaanzia kwenye hodi........na si huku............ WE POST YA KWANZA TU UMEANZA NA MIPICHA YAKO HIYONi mambo ya mila ,kule wanafanya hivi na huku hivi, yote ni kutimiza ya wahenga walivyo ishi, sisi tupo bado na mila zetu,