Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Mke wa pili wa kwanza yupo wapi?...mimi nitakuja ukivuta mke wa tatu! Asante lakini
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!
Basi hata anuani hutoi, ili tujuwe walima itakuwa wapi!?
Chai na maandazi ni ya kutosha?
kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?
kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Tunakuja na vinywaji vyetu eeh?