Karibuni katika harusi yangu wana JF

chamajani

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
552
31
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
 
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.

Mke wa pili wa kwanza yupo wapi?...mimi nitakuja ukivuta mke wa tatu! Asante lakini
 
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!

Basi hata anuani hutoi, ili tujuwe walima itakuwa wapi!?
 
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.

Shekhe unaoa mke wa pili je uadilifu unauweza???????????!!!!!!!!!!! Angalia usije kupata zambi za kupendelea upande mmoja. Isijekuwa kama yaliyomo ndani ya nyimbo hii

au katika nyimbo hii

Nakutakia kila heri

Last edited by a moderator:
kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?
 
I dreamed of a wedding of elaborate elegance,
A church filled with family and friends.
I asked her what kind of a wedding she wished for,
She said one that would make me her husband....
just thinking aloud.....hongera sana chamajani
 
asante sana kwa mwaliko..
hopeful kila kitu kitaenda sawa siku hiyo kubwa...
na nina watakia kila lakheri kwa maisha yenu ya ndoa..
God Bless
 
Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!

Basi hata anuani hutoi, ili tujuwe walima itakuwa wapi!?

Ha! Ha! Ha, huu ulimwengu wa mathna,thalatha ma arb'a una enjoyments zake bana si mchuzi! Aaa,unajua shk walima ya 'second best but risk' huwa haitangazwi mapema bana!au mesahau veve?
 
Chai na maandazi ni ya kutosha?

Paka Jimmy, umesahau kuwa walima z inversily proportional to chai+maandazi, as u go to mathna,thalatha wa arba,no of participants become reduced! Normally hata kadi haina bana hii, so ka vp njoo hta na chupa yako y chai powa.
 
kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?

Ee!ee! Preta, wataka kuwa 'third but bad' wangu nn? Je ikitokea hyo henna na piko yako+uturi wako vinazidi waridi langu si itanladhimu pia kulichuma na hilo komamanga lako soonest! Ok join to ths real enlarging world of mathna,thalatha no more arba! There still 2 rooms open an may be one z 4 you(say inshllh). Kwani gari yaenda vizuri ikiwa na 4 wheels mamaa!
 
Hongera zako kaka ila utimize majuku kabla haujaanza kusaidiwa na madereva tax na mlinzi wa geti lako mwenyewe
 
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.

Umepata increment ngapi kwenye mshahara.... ukiona mtu anaongeza mke ujue....!!! simalizii maana ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom