Karibuni jama ninakula

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
299395_531405556888890_23670314_n.jpg
 
maradhi tu hayo, mi nyama nyama haijaiva wabongo tukila hivyo twajiona wajaaanja
 
Huwa najiuliza vp dada zetu siku hizi wanashindana vitambi na wanaume kumbe sababu zipo wazi, atakula hapo kisha atashushia na soda au bia full sukari, kazi kweli kweli.
 
Kama angekuwa ndani ya shindano, kuramba vidole kungemtoa nishai ya haiiba na USAFI
 
Huwa najiuliza vp dada zetu siku hizi wanashindana vitambi na wanaume kumbe sababu zipo wazi, atakula hapo kisha atashushia na soda au bia full sukari, kazi kweli kweli.

Hiyo ni kitimoto, ukimchukua huyo ujue una kazi ya kubeba kitambi kabla ya kuchungulia maeneo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom