technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Ila uwe tayari kupambana na vibaka magomeni mh!Kwa msuguli
Kimara
Golani/bulula
Mpiji
kibamba
magomeni mapipa
tandale
mbagala
Mtongani
chamazi
Kibo
Makoka
Goba
Manzese
kinyerezi
nk nk nk nk....
si rahisi kuvipata hv vyumba kama utasema uzunguke mwenyewe,tumia dalali watakusaidia maana n sehemu za ndani ndani sna.