Karibuni Chato Zoo and Hotel

Ni hoteli ya kisasa ambapo mtalii unaweza kujionea wanyama mbalimbali kama swala pala, zebra , nyumbu ngiri na jamii ya wanyama wengi wala majani.

Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200.

N:B msiniulize mmiliki ni nani maana simjuwi.View attachment 2008177View attachment 2008178View attachment 2008179View attachment 2008180
Hiyo ni hoteli ya magu na aliijenga waziwazi jamani wala hakuficha,hebu tumwache apumzike

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ziko 8 mkuu...huyu jamaa alikuwa mpigaji balas
Aseee akiwa rais anajenga hotel? Yaan kwa akili yake alidhani hotel ni biashara ya hadhi yake? Kweli ni mwenzake tu! Nyingine ziko wap pengine siku nibahatike kulala kwanza usikute mzim wake huwa unaztembelea
 
Mkuu kuanzisha zoo haina shida mtu yeyote anaweza kuanzisha tu bila shida na hao wanyamapori unauziwa kawaida kwa maana utapewa kibali ni biashara rasmi ndani ya Tanzania na kama kuna Mtanzania anahitaji kufanya hii biashara aende Wizara ya Maliasili na Utalii atapewa utaratibu mzima so kuwa Chato au mmiliki katoka wapi sio issue labda useme vibali sio sahihi.
Kumbe nae alikua anaupenda utajiri sasa kwanini alijifanya anawachukia sana matajiri na kwamba anawapenda sana masikini?
 
Alitaka kutumia wale wachina waliohamisha magorofa waje kuhamisha huo mlima waupeleke chato. ( Eti sio lazima Ile utalii uliozoeleka wa kaskazini tu hata kwingineko wazoee)
Utadhani Kama huyo mtalii akija huko kaskazini Kama sio Tanzania Bali ni Kenya.
Yaani jamaa kwa hapa sikumbali Ila yapo mengi nilimkubali sana
Alijitahidi kuvunja unjam kaskazini, wanasiasa, matajiri, uchumi, bureude change na banks, viwanda na mashamba ya maua, mbogamboga ,na kuuwa soko na Kenya!!
Bado hali haijakaa sawa tuomve Mungu tuu wapendwa!!
 
Bado miaka michache huo mlima barafu inaisha. Tuone sasa mtakacholingia. Mlima mlima ! Hadi mnakera. Chato ni wilayani na pataendelea kuwa mji na huenda iko siku itaizidi Moshi ambayo imedumaaa na ardhi hakuna.
Huo Ni wivu Sasa, hakua Moshi ufaidi kukaa karibu na Kilimanjalo,
Nani kinehe?!
Mvoba hawajatamani ziwa Victoria likauke?!
 
Back
Top Bottom