donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,042
- 21,517
Pambana ndugu. Meza haipendezi bila kupambana.Kwa kweli hali ngumu ila wengine wanakula tu maisha
Ni hafla tu mkuuKwa kweli hali ngumu ila wengine wanakula tu maisha
SikupingiPambana ndugu. Meza haipendezi bila kupambana.
Kula mkuuu leo zamu yako daaah unafaidi sanaNi hafla tu mkuu
Mbona vitu laini laini tu hapo. Wapi nguna,wapi K -Vant?
Chini ya mezaMbona vitu laini laini tu hapo. Wapi nguna,wapi K -Vant?
Utakuta nae kaalikwaKwa kweli hali ngumu ila wengine wanakula tu maisha
Shida anaturingishia na sisi ambao bado hali tia maji tia majiUtakuta nae kaalikwa
Naona unataka kuongeza kitambi
Ila we jamaa bwana hii comment yako ya pili naona unalalamika wanakulingishia misosKwa kweli hali ngumu ila wengine wanakula tu maisha
Hali ngumu balaa acha kabisa tunaishi nao tu ila hali si haliIla we jamaa bwana hii comment yako ya pili naona unalalamika wanakulingishia misos
Bia ninyingi kuliko msosi, sema karibuni beers
Ndio hivihivi vya mawazo tunashibaViji misosi gani vya mawazo hivo!! ivi vinalazimisha uzungu uzungu mwingi!! mambo yote mwafrica nile nifurahi kabisa lazima iwepo kiti Moto Baba! halafu ndo ndizi sijui pilau zifuate! ! Nguna ya muhogo hapo ndo kidooog utasema una maisha!
basi mtakuwa na shida sana bora mkalime!!! hako kamsosi hata mwanangu hashibi!Ndio hivihivi vya mawazo tunashiba