naona kiongozi ''UMEKAMATIKA''Kumbe Vanessa ni Mzenj! Asante kunipa hiyo habari
Tungo zimetulia, hapa ni bao la kisigino kwa bara nakubaliAstaghafiruuuuuuu!!!!!!...nd'o maana muungano hautovunjika.
Zenj mwataka mle bata na samaki nyie tu?..Haiwezekani...
Masanilo ya leo kali!