Karibuni b/day yake leo

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Karibuni asana, tutakuwa maeneo ya kujidai na mwandani wangu....

Leo ni birthday yake akitimiza miaka 50 japokuwa bado mbichi. Ukitaka kuhudhuria omba kadi utatumiwa mahali ulipo
 
Attachments

  • oooo.jpg
    oooo.jpg
    6.5 KB · Views: 119
Sasa mbona hujatuambia kama ndo huyo kwenye picha au hiyo ni sample ya kadi? Hata hivyo, Happy Birthday kwa shemeji yetu. Wishing you happiness, peace, wealth, health and all that is best for both of you.
Natamani ningeweza kujiunga nanyi katika maeneo ya kujidai, lakini niko kijijini nikitekeleza Kilimo Kwanza.
Hongera Shemeji kwa kutimiza nusu karne!
Najua wengine watakuja hapa kum-punctuate shemeji...... mi simo!
 
Huyo ndie mwandani wangu bana, kadi utaipata ukiomba
 
kweli bado kabichi kabisa akajachakachuliwa vyema

Wewe kijana unamaanisha nini.....isijekuwa unantukana mzee wa watu!!!!

Katoto kanavyokula kitu ndo kanavyoendelea kuwa kabichi zaidi.....RUTUBA HIYO
 
Safi sana nikicheki Avatar yako mnastahili kuwa pamoja mnamatch sana
 
Back
Top Bottom