Karibu uwe Partner au Nikukodishie Vifaa vya biashara ya Chips Dar

FAJES

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
714
627
Nina vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Biashara ya Chips.
i) Kabati yenye sq m 1 ngazi 3
ii) Meza mbili, moja yenye 1.5m na nyingine yenye 2m.
iii) Jiko la gas la karai moja
iv) Mtungi wa gas kg 15
v) Fryers 2.
vi) Meza mbili ndogo za Plastic na viti vitano.
vii) Vyombo vidogovidogo vya chips ( karai,frying pan, visu, contena 3 za kachumbari, sahani, ndoo).

Ukihitaji uwe Partner, wewe utachangia mtaji na kulipia eneo la biashara.

Mtaji kwa makadirio ya haraka ni kama Tshs. 200,000/=

Ukihitaji kukodi tutakubaliana tulipane kiasi gani.

NOTE: Vifaa vyote hapo juu gharama yake si chini ya 1, 300,000 /=.

Contact: 0620 538 081
Location: Dar es Salaam.
 
Last edited:
Back
Top Bottom