Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,238
- 1,801
Unaweza kutusaidia picha za ndani mkuu?Mkuyuni
Single room
Bei 50 mwezi
Miezi 6
Maji $umeme 24/7
Wapangaji wapo watatu tu
0767241001View attachment 1198371
Unaweza kutusaidia picha za ndani mkuu?Mkuyuni
Single room
Bei 50 mwezi
Miezi 6
Maji $umeme 24/7
Wapangaji wapo watatu tu
0767241001View attachment 1198371
Mkuu single rm kweli unataka picha za ndani¡¡¡ any ndani ntatuma soon jua tuu nikigaye mkuuUnaweza kutusaidia picha za ndani mkuu?
Leo nataka niseme wateja BORA KABISA ¡¡¡¡¡¡¡
1.PLz(CBzes CRM MTAndaoni)
Hawa jmn kila siku nawapangamgisha wakikaa baada ya mwz wanasema nimeamishwa kikazi mtafutie mpangaji analudishie pesa yangu (FILE WAMEANGALIA KWA DARUBINI WAMEGUNDUA HAKUNA VIRUSI)
2.mhkmn hawa wanakuja jumla jumla wenyewe wanaamn hawadhulumiki
3.wanawake sjui kwasababu wanatumia sana hii mitandao ya kijamii
4.wafanyabiashara
5.Raia waliopo nje ya nchi
6.wanazengo na wafanyakazi
7.raiwa wa kawaida kabisa hao ndio wengi
NB
Nilichojifunza kwa watu wote n kusema ukweli tu
MUNGU AWABARIKI SASA
NB
Nilicho jifunza kuhusu wateja wanataka wema tu akigundua ajafanya zambi yoyote anamuambia mwenzie WKT MWINGINE NAWADADISI LKN MAJIBU YANANISHANGAZA SANA !!! NILIMSADIA MTU MWINGINE KABISA TENA IMEPITA MUDA HATA JF ATUMUI¿¡¡¡
Labda kuna aliyeelewa ukichoandika hapa mkuu.
Hahah daah sikuelewa kitu kabisaa mkuu.Elimu elimu elimu ..jamaa katoa kwenye group zao za madalali kaleta uku
nakushauri ondoa gharama ya kumpeleka mteja kwenye nyumba pale anapokubali kulipia, muhimu sana hyo
Ntajua wp ndugu yangu!!! ikipita wenye nyumba hawaitaki kabisa, daah binafsi naunga mkono kabisa hiyo sheria kuna watu wanakosa nyumba nzuri kwasababu tu Hawana pesa nyingi ya pamoja tuhivi ile sheria ya kuliia kodi mwezi,miezi miwili au mitatu ilishasainiwa na mh rais?
Hii n mil 3 jmnIgoma
Vyumba vitatu
Self contained viwili
0767241001/0620690670View attachment 1199857View attachment 1199863