Karibu upate Nyumba ya kupangisha Mwanza

vvm

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
3,426
Points
2,000

vvm

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
3,426 2,000
Angalia vzr tangazo labda ujaliewa mkuu....


5.Aina ya wapangaji wa hizo nyumba pia wanachangamoto kubwa sana na mm nakwepa pia kufanya kazi na watu wa AINA HIYO MKUU
NB
Kwa hiyo unatakiwa kujua mkuu n kama kwenda mjini kwa daladala,wkt mwezako anaenda kwa Bajaji,mwingine anatumia pikipiki nk
Wkt mwingine mtu anajiwekea mipaka ya kazi zake
👣👣👣 Let me walkout
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
612
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
612 250
Inahusu wateja wote
Ninanyumba za kupanga kila mahalia/sehemu ZOTE Mwanza hasa hizi wilaya za mjini ilemela na nyamagana LKN PIA MJUE BIASHARA YA NYUMBA SIO KAMA VOCHA UNANUA KWANZA NDIO UNAWEKA KWENYE CMU HUKU UNAONA KWANZA UKILIZIKA KABISA TUNAKUKUTANISHA NA MMILIKI WA NYUMBA UNALIPA KODI YAKE BAADA YA HAPO UNATUPA PESA YETU YA MWZ MMOJA NA HELA YA KUKUPELEKA TEN TU toka nimeweka humu huu uzi sijaona mtu yoyote niliefanya nae kazi analalamika hapa kwenye UZI au kwenye cmu yangu hi inaashilia kwamba hakuna aliyewahi kufanyiwa jambo lolote baya
NB
Ww kama unataka nyumba au kiwanja au fremu piga Simu ukiwa umeamua kuhama
Kila siku watu wanahamia Mwanza na wengine wahamia makwao
0767241001 swala la nyumba kwangu sio tatizo
 

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
20,922
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
20,922 2,000
Labda kuna aliyeelewa ukichoandika hapa mkuu.
Leo nataka niseme wateja BORA KABISA ¡¡¡¡¡¡¡
1.PLz(CBzes CRM MTAndaoni)
Hawa jmn kila siku nawapangamgisha wakikaa baada ya mwz wanasema nimeamishwa kikazi mtafutie mpangaji analudishie pesa yangu (FILE WAMEANGALIA KWA DARUBINI WAMEGUNDUA HAKUNA VIRUSI)
2.mhkmn hawa wanakuja jumla jumla wenyewe wanaamn hawadhulumiki
3.wanawake sjui kwasababu wanatumia sana hii mitandao ya kijamii
4.wafanyabiashara
5.Raia waliopo nje ya nchi
6.wanazengo na wafanyakazi
7.raiwa wa kawaida kabisa hao ndio wengi
NB
Nilichojifunza kwa watu wote n kusema ukweli tu
MUNGU AWABARIKI SASA
NB
Nilicho jifunza kuhusu wateja wanataka wema tu akigundua ajafanya zambi yoyote anamuambia mwenzie WKT MWINGINE NAWADADISI LKN MAJIBU YANANISHANGAZA SANA !!! NILIMSADIA MTU MWINGINE KABISA TENA IMEPITA MUDA HATA JF ATUMUI¿¡¡¡
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
612
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
612 250
Nyegezi
Majengo mapya
Vyumba 2
Self vyote
Dinning&sitting rm
Jiko ndani
Fensi
Bei mil 2.4 kwa mwaka
Anapokea miezi sita
Kifupi n nyumba moja lkn n yafamilia mbili tu imetenganishwa na ukuta ktkt
0767141001/0620690670
Atakaye lipia Nyumba anafutiwa gharama za kupelekwa kuanzia leo
Photo1567769415863.jpeg
Photo1567769415863.jpeg
Photo1567769415863.jpeg
 

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
612
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
612 250
Buzuruga
Gharofa
Linavyumba 6
Vyote n self
Kila chumba kinasehemu ya njee ya kupungia upepo
master bed room 2 zinasehemu za kubadilishia nguo
Kuna sitting room 4
Dinning dinning 4
Majiko matatu
Kuna chumba cha LIBRARY
Sehemu ya juu ya kupumzika
hii nyumba inambo mengi sana yachosha kuyaelezea
BEI YAKE N MIL 900
0767241001/0620690670
NB
Nyumba kama hizi hatuuzi kama huna WAKILI WAKO na mtu wa ARDHI
Photo1567771489560.jpeg
Photo1567771535873.jpeg
Photo1567771489560.jpeg
 

Attachments:

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
612
Points
250

nyumbanzuribeinzuri

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
612 250
Nyakato
Vyumba 2
Dinning
Living rm
Self contained 1
Public toilet
Jiko
Parking
Bei mil 2.5 kwa mwaka
Anapokea miezi 6
Inajitegemea umeme na maji
Dakika 5 toka barabarani
0767241001/0620690670
NB
Nyumba za kupanga tunazo kila mahali ukilipia kodi ya mwenye nyumba, sisi tunafuta pesa yakukupeleka(ten) lkn unatakiwa kutulipa kodi yetu ya mwezi mmoja tu tofauti yetu na wezetu kuanzia leo


Photo1567772925428.jpeg
Photo1567772864889.jpeg
Photo1567772834013.jpeg
Photo1567772802058.jpeg
Photo1567772790192.jpeg
Photo1567772751591.jpeg
Photo1567772710868.jpeg
Photo1567772710868.jpeg
Photo1567772834013.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,380,617
Members 525,831
Posts 33,775,345
Top