Karibu uone makala ya miaka minne ya Mbunge Hussen Bashe jimboni kwake Nzega Mjini

Josephat Sanga

Senior Member
Aug 29, 2016
151
97
Karibu kwenye makala ya Mh mbunge wa nzega mjini mh Hussen Bashe inayoelezea ni njisi gani ndani ya miaka minne ya utawala wake tangu achaguliwe mwaka 2015, ameweza kuteleza ahadi alizoahidi katika upande wa elimu, afya, miundo mbinu nk

Karibu.

 
Bwana mdogo, kazi kama hii yako uliyojichagulia katika nchi za wenzetu hutaweza "KU-SURVIVE", labda uwe umeolewa pia.
 
Back
Top Bottom