Karibu ujipatie huduma bora za Ujenzi bora wa majengo

architect deo

Member
Aug 4, 2017
91
21
Kutana na wataalamu wa maswala ya ujenzi kuanzia uchoraji wa ramani na ujenzi kwa ujumla. Pia tunafanya kazi zetu mahali popote ndani na nje ya Tanzania kwa ushauri wa namuna ya kufanya ujenzi bora na nafuu tuwasiliane kupitia nambali ( 0658316057)
IMG-20190918-WA0016.jpeg
IMG_20190820_103553_9.jpeg
IMG_20190826_160655_3.jpeg
IMG-20190911-WA0001.jpeg
IMG-20190911-WA0005.jpeg
IMG-20190919-WA0020.jpeg
IMG-20190926-WA0060.jpeg
IMG-20190926-WA0003.jpeg
IMG-20190819-WA0003.jpeg
 
Je znz mnafika.? Nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu. Kimoja master viwili vya kawaida. Na jiko , ukumbi. Store. Na choo kinacho jitegemea. Je unaweza kunambia kiasi gani inaweza kuni.cost? Je unaweza kunisaidia kwa hilo? Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Znz tunafika, pia kuhusu gharama za kujenga hiyo nyumba zitategemea design ya nyumba yenyewe uliyo itaka, pili itategemea na Aina ya eneo unalotaka kujenge Kama Ni tambalale au slope gharama zitatofautiana . Kama itawezekana tuone eneo na tufanye design ya hiyo nyumba. Ndio utapata hesabu sahii ya ujenzi wa nyumba yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom