mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Baada ya kuzinduliwa kwa mabasi ya mwendokakasi safari zangu za mjini zimekuwa rahisi kwa kuokoa mda barabarani kama ifuatavyo.
Nimetoka ubungo saa 4:00 asubuh nikafika pale DIT saa 4:30 nikatumia dakika 30 barabarani nikafanya shughuli zangu pale mnazi mmoja, Nikaondoka kuelekea moroco.
Nikapanda tena UDART pale kituo cha DIT saa 6:15 mchana nikafika kituo cha moroco saa 6: 40.
Nikafanya mambo yangu pale victoria.
Saa 9:55 mchana nikapanda tena UDART kutoka kituo cha moroco kuelekea ubungo na kufika ubungo saa 10: 30 jioni.
Kwa mda wa siku moja nimeweza kufanya mambo mengi hadi narudi home nikiwa na amani na furaha kwa kukamilisha ratiba yangu ya siku ambapo ningetumia city bus ingenichukua siku mbili kumaliza hizo shughuli kitu kingine ni comfotability ndani ya basi hakuna bughudha na usumbufu kama ilivyo kwenye city bus.
Ila ule mzunguko wa kupanda ngazi za stendi ndio changamoto kidogo.
Watanzania naomba tushirikiane kuutunza huu usafiri utatusaidia mambo mengi sana.