Karibu ufanikishe ndoto yako kupitia kilimo

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
489
162
Kuna watu wengi wanapenda kulima ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi nawasaidia watu wa namna hiyo.. ni hivi unanipa laki 4 kwa ekari moja alafu mi nakupa laki 5 nikishavuna, maana yake ni kwamba hela yoyote utakayonipa wew utapata faida 25%, ukishanipa pesa we unatulia tu kusubiria chako kila kitu nafanya mimi, na ikitokea mafuriko au wadudu kuharibu mazao mimi nitawajibika kukulipa kama tulivyokubaliana.. KARIBU SANA
 
Shamba lako au langu?

Tunaandikiana?
 
wamepatikana wawili mpaka sasa, njoo nawew usiogope..
 
Back
Top Bottom