Karibu uanze mwaka 2020 kwa kujipatia ramani na michoro bora kabisa ya Ujenzi wako

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada.

Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural & Structural Drawings) za kisasa mno kwa gharama nafuu kabisa.

Na design mpaka two storey building tu kwa sasa (Ghorofa Mbili).

Gharama ni Kitonga kama Ifuatavyo

Nyumba ya kawaida Ramani. Architectural Drawings 50K, Structural Drawings 90K

Nyumba ya Ghorofa Moja Architectural Drawings 70K, Structural Drawings 150K

Nyumba ya Ghorafa Mbili, Architectural Drawings 90K, Structural Drawings 200K.

Kwa sasa sijawa Registered Engineer bado naendelea na mchakato wa kusajiliwa baada yam waka mmoja nitakuwa tayari kama Professional Engineer.

Kwa maana hiyo Michoro haitakuwa na Muhuri lakini ni Michoro Genuine Kutoka Mikono yangu Mwenyewe.

Karibuni Mjipatie Kazi Makini kutoka kwa Mtu Makini.

Mawasiliano +255757497175

AutoCAD!.PNG
Capture.PNG
Capture1.PNG
Capture2.PNG
Capture3.PNG
Capture4.PNG
 
Vizuri sanaa! Ramani ya vyumba 3, store, sitting, dining + public toilet (simple and best)..
 
Ndugu unaweka tangazo na namba,lakini ukitafutwa kwenye sim hupatikani!!!
Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada.

Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural & Structural Drawings) za kisasa mno kwa gharama nafuu kabisa.

Na design mpaka two storey building tu kwa sasa (Ghorofa Mbili).

Gharama ni Kitonga kama Ifuatavyo

Nyumba ya kawaida Ramani. Architectural Drawings 50K, Structural Drawings 90K

Nyumba ya Ghorofa Moja Architectural Drawings 70K, Structural Drawings 150K

Nyumba ya Ghorafa Mbili, Architectural Drawings 90K, Structural Drawings 200K.

Kwa sasa sijawa Registered Engineer bado naendelea na mchakato wa kusajiliwa baada yam waka mmoja nitakuwa tayari kama Professional Engineer.

Kwa maana hiyo Michoro haitakuwa na Muhuri lakini ni Michoro Genuine Kutoka Mikono yangu Mwenyewe.

Karibuni Mjipatie Kazi Makini kutoka kwa Mtu Makini.

Mawasiliano +255757497175

View attachment 1326481View attachment 1326482View attachment 1326483View attachment 1326484View attachment 1326485View attachment 1326486

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa utanifaa. Maana kuna jamaa wanakatisha sana tamaa kwa bei zao za kuumizana.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom