KARIBU UANDIKIWE MPANGO BIASHARA NA MRADI

charles ogopa tapeli

Senior Member
Jul 15, 2013
122
49
Wasalaam wanajamvi.

Kutokana na kupewa grace period ya miezi sita na serikali ya Tanzania. Vijana wengi wanajihusisha na biashara kadha wa kadha na makampuni pia.

Tunakukaribisha PM kwa serious custom tu ili tukuandikie mpango biashara na mradi uweze kufaidika na uwekezaji wako wa namna yoyote ile.

Tuko na uzoefu wa kutosha kabisa katika kuandika kazi hizo kwa bei ya mnyonge(mlala hoi).

Tunaomba utupe kazi na sisi tukuhudumie hii ni kwa biashara.
1. Zinazoanza
2. Zinazoendelea
3. Zitakazoanza

Na miradi ya aina yoyote ile hasa ya vikundi, Amcos,Saccos n.k

Tunapatikana kwa namba hii 0621153240
Tutafute muda wowote ule 24/7.
Asanteni na karibuni sana.
 
Kwahiyo haiwezi kuwekwa hapa hiyo bei sio?
Business Plan au Project proposal bei zake hutofautiana kwa namna yake.
Kuna mtu anataka aandikiwe business plan kwa ajili ya kuangalia performance ya biashara yake mwenyewe.

Kuna watu wanaandikiwa business plan kwa ajili ya kufungulia biashara zao kama sehemu ya attachment haina maana yoyote kwake.

Kuna watu wanaandikiwa business plan kwa ajili ya kuomba mkopo bank.

Kuna watu wanaamdikiwa business plan kama sehemu ya kumbukumbu ya biashara zao...Archieve.

Bei haziwezi kuwa sawa kwa aina za hao watu hapo juu. Ukiwa na uhitaji fanya uni pm ama tutafute kwa namba hapo juu...Tukuhudumie,..Asante.
 
Nataka kuanzisha mradi wakilimo Cha ufuta na kusindika kupata mafuta ya ufuta. Bei gani?
Hongera sana kwa hatua hiyo...Tutafute kwa namba hapo juu ili tuangalie namna gani tutafanikisha hilo...Bei zinatofautiana na aina ya mpango biashara tutakao andika.
Karibu.
 
Nashawishika
Business Plan au Project proposal bei zake hutofautiana kwa namna yake.
Kuna mtu anataka aandikiwe business plan kwa ajili ya kuangalia performance ya biashara yake mwenyewe.

Kuna watu wanaandikiwa business plan kwa ajili ya kufungulia biashara zao kama sehemu ya attachment haina maana yoyote kwake.

Kuna watu wanaandikiwa business plan kwa ajili ya kuomba mkopo bank.

Kuna watu wanaamdikiwa business plan kama sehemu ya kumbukumbu ya biashara zao...Archieve.

Bei haziwezi kuwa sawa kwa aina za hao watu hapo juu. Ukiwa na uhitaji fanya uni pm ama tutafute kwa namba hapo juu...Tukuhudumie,..Asante.
 
Kwa wale wanao anza biashara wanahitaji kufanya utafiti wa kina na kuweka misingi mizuri ya kuifuata ili biashara iweze kurejesha faida basi, tupo tayari kukuandikia

MPANGO BIASHARA kwa bei nafuu kulingana na uhitaji wako. Kwa wenye kuanzisha miradi na wana shida ya kuandikiwa PROJECT PROPOSAL basi sisi ni watu sahihi kuwezesha hilo.

Karibu uhudumiwe.
 
Wasalaam wanajamvi.

Kutokana na kupewa grace period ya miezi sita na serikali ya Tanzania. Vijana wengi wanajihusisha na biashara kadha wa kadha na makampuni pia.

Tunakukaribisha PM kwa serious custom tu ili tukuandikie mpango biashara na mradi uweze kufaidika na uwekezaji wako wa namna yoyote ile.

Tuko na uzoefu wa kutosha kabisa katika kuandika kazi hizo kwa bei ya mnyonge(mlala hoi).

Tunaomba utupe kazi na sisi tukuhudumie hii ni kwa biashara.
1. Zinazoanza
2. Zinazoendelea
3. Zitakazoanza

Na miradi ya aina yoyote ile hasa ya vikundi, Amcos,Saccos n.k

Tunapatikana kwa namba hii 0621153240
Tutafute muda wowote ule 24/7.
Asanteni na karibuni sana.

Mwaka 2020 uwe wa neema na baraka kwako mteja wetu, Tunawakaribisha wenye uhitaji tukupe huduma stahiki karibuni sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom