Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
Hahah aisee mkuu, Toyota soarer 2001 model(convertible) yenyewe inaendaje mkuu?

Niweke pia na Bei ya Lexus sc430 ya miaka hio hio mkuu.

Mwaka Jana nilizicheki Bei ilikua kawaida tu,nikaja kuzicheki tena this time around naona CIF ikawa imepanda 2×,sijui hata kilitokea Nini mzee.
Kale kale kabisa kakufunga na kufungua kale kana gonga 30mil

Cc zake ni 4,300 hivi

Supra inasubiri pale mzee wangu
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,808
2,000
Kale kale kabisa kakufunga na kufungua kale kana gonga 30mil

Cc zake ni 4,300 hivi

Supra inasubiri pale mzee wangu
Hahah ndio ugonjwa wangu huo,niliwahi kua na Mazda Miata nayo Ni convertible sema tatizo ilikua soft top,Ila kalikua enjoyable.

Hata Sasa hivi naitamani sana Honda S2000 Ila price iko juu Saaana so option nitakayokua nayo Ni hio soarer,Bmw z3/z4 tatizo lake Ni reliability hapo.

Hizo cc4300 zisikutishe Sana,linatoa HP 280 tu.Hio engine yake 3UZ-FE ilishakua pia kwny crown majesta
 
True story mzee wangu, true story!!
Mambo ya #ndukinduki
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
Mitsubishi Outlander

▫️Manufacture Year: 2010
▫️Engine Capacity Cc: 2,350
▫️Mileage: 101,275 km
▫️Engine Code : 24G
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic

Price: TZS 22,200,000/= ( JUMLA )

KARIBU OFISINI, UPEWE MKATABA NA INVOICE KISHA

LIPIA : TZS 11,500,000/=

MALIZIA : TZS 10,700,000/=
( KWA AWAMU, 12 )

MUDA : MIEZI KUMI NA MBILI ( MWAKA )

KILA MWEZI : TZS 892,000/=
KAZI NI KWAKO !!!

EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY

#mkopowagari
#garimbeya
#mitsubishioutlander

BK626742_8b510c.jpg

BK626742_7a285c.jpg

BK626742_26befd.jpg

BK626742_a45b31.jpg
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
Vipi kuhusu price na upatikanaji wa IST new model (kuanzia 2008), 1300cc, 2WD
Kama ni new model mzee wangu, ile yenye shape fulani kama ki -suv

Ambayo iko tofauti kabisa na ist zote za kawaida, ile huwa cc zake huanzia 1,490cc mzee

Ila zile zingine ndio huwa zina hizo cc mzee

Sasa sijui ndio hiyo wamaanisha?

Karibu sana
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
BMW 3 SERIES

▫️Manufacture Year: 2007
▫️Engine Capacity Cc: 1,990
▫️Mileage: 85,279 km
▫️Engine Code : N46B14B
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic

Price: TZS 14,780,000/= ( JUMLA )

KARIBU OFISINI, UPEWE MKATABA NA INVOICE KISHA

LIPIA : TZS 9,000,000/=

MALIZIA : TZS 5,780,000/=
( KWA AWAMU, 12 )

MUDA : MIEZI KUMI NA MBILI ( MWAKA )

KILA MWEZI : TZS 482,000/=
KAZI NI KWAKO !!!

EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY

#mkopowagari
#garimbeya
#bmw3series

BK680607_f33542.jpeg

BK680607_8e6412.jpeg

BK680607_c8c91f.jpeg

BK680607_223236.jpeg
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,711
2,000
Yes, haswaa nilikuwa namaanisha hiyo IST yenye shape hiyo lakini iwe 2WD kama ipo, sikuwa najua hizo engine CC zake kwa uhakika.
Please nipe price
Kama ni new model mzee wangu, ile yenye shape fulani kama ki -suv

Ambayo iko tofauti kabisa na ist zote za kawaida, ile huwa cc zake huanzia 1,490cc mzee

Ila zile zingine ndio huwa zina hizo cc mzee

Sasa sijui ndio hiyo wamaanisha?

Karibu sana
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
Yes, haswaa nilikuwa namaanisha hiyo IST yenye shape hiyo lakini iwe 2WD kama ipo, sikuwa najua hizo engine CC zake kwa uhakika.
Please nipe price
Good Morning Mzee,

2WD tuliyonayo ni ya 2009
Gharama zote jumla hadi mikononi ni Tzs 20,036,400/=

Lakini unaaeza kuqgiza kupitia sisi EAPGS, ukalipia tuu Tzs 11,414,400/=

Unaletewa gari yako pendwa na kukabidhiwa

Tzs 8,622,000/= iliyobakia unamalizia kwa awamu 12 ( Mwaka mmoja )

Kila mwezi , Tzs 718,500/=
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,711
2,000
Good Morning Mzee,

2WD tuliyonayo ni ya 2009
Gharama zote jumla hadi mikononi ni Tzs 20,036,400/=

Lakini unaaeza kuqgiza kupitia sisi EAPGS, ukalipia tuu Tzs 11,414,400/=

Unaletewa gari yako pendwa na kukabidhiwa

Tzs 8,622,000/= iliyobakia unamalizia kwa awamu 12 ( Mwaka mmoja )

Kila mwezi , Tzs 718,500/=
Nimekupata vizuri.
Naona bei ya hizo IST new model imechangamka, inafika mpaka 20m.
Nini kinafanya kuwa na hiyo wide price gap ikiwa utailinganisha na old model while karibu kila kitu kiko sawa ukiondoa body shape?
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
Nimekupata vizuri.
Naona bei ya hizo IST new model imechangamka, inafika mpaka 20m.
Nini kinafanya kuwa na hiyo wide price gap ikiwa utailinganisha na old model while karibu kila kitu kiko sawa ukiondoa body shape?
Swali zuri mzee wangu

Lakini ninaweza nisiwe na jibu la moja kwa moja, kwasababu kama unavyojua

Kuna wanaopanga bei, sasa hawa ndio ambao walipaswa kutoa ufafanuzi wakina .

Naamini umenielewa.

EAPGS
 
upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
316
250
mkuu office yako umesema ipo mbeya, je lazima tuje huko? mfano wen'gine tupo dodoma wanahituaji huduma yako itakuwa je?
na tunakuomba utuwekee number ya simu hiyo ya whatsaap

na vipi kuhusu hayo malipo yalobakia ambayo mtu anatakiwa alipe kwq muda w mwaka?

mnamuamini vipi mtu? naomba utupe masharti, na je hii kwa waajiriwa tuwatapata huduma hizo? , au kwa mtu yoyote yule ? , asante
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
mkuu office yako umesema ipo mbeya, je lazima tuje huko? mfano wen'gine tupo dodoma wanahituaji huduma yako itakuwa je?

Mzee wangu, kuhusiana na suala la kuja au la, naweza kusema huo ni uamuzi binafsi wa mteja. Lakini popote pale ulipo huduma yetu unapata, zaidi unaweza kutuma muwakilishi wako pia ukipenda.

na tunakuomba utuwekee number ya simu hiyo ya whatsaap

Ipo public kabisa mzee, hata kwenye post hapa ipo sana

+255 682 274 097

na vipi kuhusu hayo malipo yalobakia ambayo mtu anatakiwa alipe kwq muda w mwaka?

mnamuamini vipi mtu?

Tunatararibu zetu kama Kampuni mzee.
naomba utupe masharti, na je hii kwa waajiriwa tuwatapata huduma hizo? , au
kwa mtu yoyote yule ?

Nchi haijengwi na waajiriwa tuu, sio muajiliwa pekee ndiye anayestahili kuwa special treated. Kuna waliojiajiri pia, nao ni watu na wanastahili a good treatment.

Sisi tupo kwaajili ya wote.

Karibu sana
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
MERCEDES BENZ

▫️Manufacture Year: 2012
▫️Engine Capacity Cc: 1,590
▫️Mileage: 95,873 km
▫️Engine Code : 270
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic

Price: TZS 23,100,000/= ( JUMLA )

KARIBU OFISINI, UPEWE MKATABA NA INVOICE KISHA

LIPIA : TZS 14,508,000/=

MALIZIA : TZS 8,592,000/=
( KWA AWAMU, 12 )

MUDA : MIEZI KUMI NA MBILI ( MWAKA )

KILA MWEZI : TZS 712,000/=
KAZI NI KWAKO !!!

EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY
+255 682 274 097

#mkopowagari
#garimbeya
#mercedesbenzbclass

IMG-20220117-WA0203.jpg

BK671397_3d762a.jpg

BK671397_b78698.jpg

BK671397_e19abb.jpg

BK671397_decf37.jpg
 
EAPGS

Senior Member
Jun 17, 2021
162
250
TOYOTA CROWN ATHLETE

▫️Manufacture Year: 2004
▫️Engine Capacity Cc: 2,490
▫️Mileage: 142,217 km
▫️Engine Code : 4GR
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic

Price: TZS 15,318,000/= ( JUMLA )

KARIBU OFISINI, UPEWE MKATABA NA INVOICE KISHA

LIPIA : TZS 8,940,000/=

MALIZIA : TZS 6,378,000/=
( KWA AWAMU, 12 )

MUDA : MIEZI KUMI NA MBILI ( MWAKA )

KILA MWEZI : TZS 531,500/=
KAZI NI KWAKO !!!

EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY
+255 682 274 097

#mkopowagari
#garimbeya
#crownathlete

IMG-20220120-WA0107.jpg

BK680431_bb0c26.jpeg

BK680431_97a639.jpeg

BK680431_b81982.jpeg

BK680431_7d27c5.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom