Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

Ha haaa Kuna wadau wameniambia ni nzuri kwenye chai, mwingine kaniambia mafuta ya alizeti na kitunguu swaumu..bas nawaza hapa hiyo chai ya kitunguu swaumu itakuaje
kuna watu wanashauri dawa walizoambiwa watumie na Madaktari sasa we tengeneza uone....
 
Hii ni nzuri zaidi na hata ladha yake
1. Vitunguu swaumu
2. Pilipili manga
3. Mdalasini
4. Mafuta ya alizeti
5. Vitunguu maji..

Kaaanga mpaka viive kabisa viwe vya brown...halafu mimina maji yako chai.acha ichemke sana. Hapo tayari kwa kunywa.
😜😳
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom