Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

Napenda sana tangawizi, naweza nikaongezea hapo? Mchaichai upo hapa nje kwangu. Vipi huko haipatikani? Tafuta uoteshe
Yes dia unaweza kuongezea, ukaikausha Tangawizi ukaisaga ukachanganya unga wake pamoja na hivyo viungo lakini kwa mimi napendelea kubadilisha ladha, leo chai ya tangawizi, kesho ya viungo.

Nitautafuta sina hakika kama upo lakini next time nitachukua tu mbegu nipande.
 
Okay dear, thanks
 
7E69E629-289F-4BEF-A3C0-5406762FB782.jpeg
 
Uzuri wake ni ladha au kiafya zaidi? Nataka chai tamu isije ikaharibu flavor ya viungo vingine
Ladha yake nzuri ukitumia Majani yake ya chai sio Majani mabichi na ukichanganya na viungo kama ivo basi inakuwa bomba zaidi
 
Ngoja nikupe mixed spices zinazoleta chai amazing

1.
Mchaichai +tangawizi mbichi

2. Mdalasini +karafuuu

3.iliki+ majani ya limao + mdalasini

4. Karafuu+pilipimanga +iliki

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo ni kuwa na aina zote hizo kila siku unabadilisha flavor. Hapo kwenye majani ya limao ndo nasikia Leo...huu mlimao kabisa au lemon grass ambao ni mchaichai?
 
Back
Top Bottom