Karibu tido tbc

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Ama kweli hii nchi haipendi maendeleo,mzee Tido alikuja kufanya mapinduzi Tbc,but wakampindua yeye hii sirikali sijui ikoje....ONA SASA LEO TUNA KOSA MECHI ZA MABALA CUP.....
 
Ama kweli hii nchi haipendi maendeleo,mzee Tido alikuja kufanya mapinduzi Tbc,but wakampindua yeye hii sirikali sijui ikoje....ONA SASA LEO TUNA KOSA MECHI ZA MABALA CUP.....

Tulia kwanza ndo uandike habari yako, ukiandika kwa hasira hatutaelewa.
Haya!! Mkaribishe sasa huyo Tido wako.
Nani waliompindua tido tbc? Mkataba wake uliisha wakaona hawana haja ya kumuajiri tena.
Izo mechi za mabala cup ndo zipi( au ndo mbagala cup?). Na mnazikosa vipi? Au yeye ndi alikuwa anachagua timu za kucheza mabala cup?
 
Back
Top Bottom