Karibu sana TALKTEL Communications

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Nguvu za RA na Lowasa muda wote tangia JK aingie madaraka zimekuwa tishio sana .Majuzi naongea na mtu mmoja ndani ya CCM anabainisha kwamba kuna tenda ilitoka na ikawa inaliliwa na Lowasa na RA basi hata CCM na serikali walishindwa na matokeo yake Manji na hawa watu wamechukua tenda .

Nikiwa niko hapa hapa Dodoma mwana CCM mmoja anasema kwamb ana furaha kuona kwamba baada ya Lowasa kutoka pale sasa Tanzania inaweza kupata huduma za simu za bei ya chini zaidi ambazo muda wote kampuni hiyo imekuwa ikiwatishia maisha yao marafiki zao na hasa Vodacom ambayo muda wote imebebwa na Lowasa.

Taltel yaja , baada ya a very long struggle ya kibali kuzuiliwa na TCRA na Lowasa binafasi kwa shinikizo la Lowasa .Kisa jamaa wanakuja na bei nafuu sana za matumizi ya simu , pamoja na TV services toka US .Pinda kazana na fanya kama ulivyo amua kuhakikisha kibali kinatoka baada ya TCRA na Lowasa na Vodacom yao kuwekea ngumu kampuni hii .

Watanzania wanawaweza kupata nafuu ya gharama za simu .
 
Last edited by a moderator:
Kuna guarantee yoyote kuwa watakuwa na bei ya chini? Isije ikawa wanatafuta gia ya kuingilia tu
 
Ukisoma vyema maandiko yangu utaona nami nimekuwa makini kidogo na nimetoa habari kwa uchache wake tu , ila matumaini namategemeo yangu ni kwamba hayo niliyo ambiwa yatakuwa mema ili unafuu upatikane wa mawasiliano ya simu .
 
Nguvu za RA na Lowasa muda wote tangia JK aingie madaraka zimekuwa tishio sana .Majuzi naongea na mtu mmoja ndani ya CCM anabainisha kwamba kuna tenda ilitoka na ikawa inaliliwa na Lowasa na RA basi hata CCM na serikali walishindwa na matokeo yake Manji na hawa watu wamechukua tenda .

Nikiwa niko hapa hapa Dodoma mwana CCM mmoja anasema kwamb ana furaha kuona kwamba baada ya Lowasa kutoka pale sasa Tanzania inaweza kupata huduma za simu za bei ya chini zaidi ambazo muda wote kampuni hiyo imekuwa ikiwatishia maisha yao marafiki zao na hasa Vodacom ambayo muda wote imebebwa na Lowasa.

Taltel yaja , baada ya a very long struggle ya kibali kuzuiliwa na TCRA na Lowasa binafasi kwa shinikizo la Lowasa .Kisa jamaa wanakuja na bei nafuu sana za matumizi ya simu , pamoja na TV services toka US .Pinda kazana na fanya kama ulivyo amua kuhakikisha kibali kinatoka baada ya TCRA na Lowasa na Vodacom yao kuwekea ngumu kampuni hii .

Watanzania wanawaweza kupata nafuu ya gharama za simu .
Jamani haya mambo ya kuandika kama hata shule hatujaenda ni aibu kubwa sana kwa wanajamboforum wote...hii habari ni ya kutunga kabisa hapa...unasema mwanaccm anasema kuwa eti lowasa kaondoka then kampuni ya simu atakuja....huyo mwana ccm ni msemaji wa ttcra na kama kweli walinyimwa kibali tuambie maombi walipeleka lini na walijibiwa na nani???walijuaje bei ni rahisi bila kujua investment cost na pia cost ya kupiga kampuni moja mpaka nyingine yani mfano toka celtel kwenda tigo haipangwi na kampuni bali tcra,hapo yeye atafanyaje iwe ndogo....Unajaribu kuisingizia voda hapa kwa maneno yasiyo na msingi wowote.
 
Kitu cha msingi nilicho kiona kwenye taarifa hii , ni kuwepo kwa maombi ya kampuni nyingine ya Simu, ambayo itakuwa Pinzani na VODACOM, hivyo kuna juhudi za wazi au za kufichika ili kukwamisha maombi ya hiyo kampuni Nyingine.
Kwa faida ya wachache.
Maana kitu kikubwa si bei bali kuwepo kwa mpinzani, ambaye anaweza kumpiku VODA
 
......hii kampuni naifahamu ..tayari ipo..na inasambaza mtandao wake kwa sasa....makao yao makuu ya muda yapo ..MWALIMU HOUSE...........gorofa ya kumi......
 
hawa jamaa wanaanza kazi rasmi mwezi wa kumi na ni kweli lowasa na RA walijitahidi kubana lakini sasa wameachia

watanzania tusubiri kicheko tu
 
Lowasa anahusika je?

Au unaona raha kuandika neno Lowasa... kwenye mambo ya mawasiliano Waziri Mkuu hana mamlaka yoyote.
 
Mkuu Kasheshe,

Utafikiri huijui Tanzania? Hivi Lowassa kama PM si alikuwa na uwezo wa kukwamisha kitu au mradi wowote ambao angetaka usifanyike?

Rais na PM Tanzania wana nguvu nyingi mno. Labda useme hii habari sio kweli lakini kusema PM hana mamlaka yoyote na mambo ya mawasiliano kwa TZ naona ni kukosea mno.

Wacha wengine tuanze kuomba kazi.
 
Lowasa anahusika je?

Au unaona raha kuandika neno Lowasa... kwenye mambo ya mawasiliano Waziri Mkuu hana mamlaka yoyote.

...acha kutetea ufisadi wewe...kwani hujui kuwa lowassa na rostam NA ruhinda ni shareholders wa vodacom ...na hii kampuni inatumia vigogo wa ccm kama board chairs wao..kwa kubadilishana...rostam,msekwas et al....KWANI HUJUI KUWA KATI YA MAKAMPUNI 3 YA KUSAMBAZA HUDUMA ZA VODACOM...moja ni ya nduguye rostam..tanil..SHIVACOM..nyingine ya lowassa CHINI ya fredie ..ALPHATEL..nyingine ni ya kada JAQUILINE NONI....

..KWANI HUJUI KINA LOWASSA NA ROSTAM...WAMEKUWA WAKIISAIDIA VODACOM KUKWEPA KODI..KWA KUKWEPA KULIPA KODI ZOTE MUHIMU....NA PESA WANAGAWANA...vodacom watoa rushwa wakubwa kwa media ...issue yao ya kukwepa kodi iliibuliwa bungeni ...na ikawa big issue...WABUNGE TENA WAKIWEMO WA CCM- MATUMAINI ..wakihoji ..kuwa kwa nini VODACOM PAMOJA YA KUWA KAMPUNI KUBWA KABISA YA SIMU NA INA ZAIDI YA MIAKA 10..IMEENDELEWA KUSAMEHEWA CORP TAX.....NA KUWA INASHINDWA NA KAMPUNI HATA YA CELTEL..AMBAYO ILIKUJA BAADAYE KWA KULIPA KODI..lakini kwa mshangao hakuna gazeti hata moja lilirpoti malumbano yaliyozuka bungeni juu ya wabunge kuhoji kiwango kidogo cha kodi wanayolipa VODACOM?

..KWANI HUJUI KUWA VODACOM WANA INTEREST ZANTEL....NA WAO NDIO WAMESAIDIA ZANTEL KUTUMIA MINARA YAO KUJITANUA TANGANYIKA????...KWANI HUJUI MKURUGENZI MUWAKILISHI WA VODACOM HUKO ZANTEL..NI FREDIRICK LOWASSA.....

acheni ushabiki....
 
Duh...Watanzania inatubidi tusali sana.
 
Wanajidai wanajua mfumo wa Ubepari, kumbe wanatumia mbinu za Kikomunisti kuakikisha wanabakia na monopoly!
 
...hakiyamungu Lowassa angeachiwa kuendelea nafikiri angeishia kuwa ni Mobutu mwingine,huyu mzee kwenye deals chafu zote kuanzia za umeme mpaka VODA yumo na ni billions,damn Lowassa bora ulienda tuu na usirudi tena maana ni tajiri wa kutisha na zote zi deal chafu tuu!
 
KASHESHE ALIINGIA KUMTETEA..akirusha taulo nyeupe...naona kimyaaa!!!!!!!
 
...hakiyamungu Lowassa angeachiwa kuendelea nafikiri angeishia kuwa ni Mobutu mwingine,huyu mzee kwenye deals chafu zote kuanzia za umeme mpaka VODA yumo na ni billions,damn Lowassa bora ulienda tuu na usirudi tena maana ni tajiri wa kutisha na zote zi deal chafu tuu!
Koba,
Yatubidi tuendelee kuwa macho. Lowassa bado yupo na ndoto zake za kuingia Ikulu.
 
mmh mmh mmh kumbe vodacom hawalipi CORP TAX? hapa tunahitaji maelezo yakutosha, hii nayo EPA yaaina yake. Tunaomba detail za kutosha tuweze kuwaandikia email vodacom sa na vodafone uk kuwa nyie nimakampuni ya kinyonyaji.
 
Hawa TALKTEL nawafahamu kama watafanikiwa maadui zao watalia kilio cha mbwa mdomo juu. Nasikia waliambiwa ati bei zao chini sana haifai. Wakasema hilo sio sababu yakutopewa kibali.
 
Kuna guarantee yoyote kuwa watakuwa na bei ya chini? Isije ikawa wanatafuta gia ya kuingilia tu

..swali la muhimu sana!

..kwanza, hamna mwekezaji ambaye hatafuti faida nzuri. na katika hilo mtumiaji lazima ataona kuna gharama kubwa kwenye huduma.

..pili, gharama za uendeshaji nazo huchangia kubainisha gharama za bidhaa. ukizikwepa gharama za uendeshaji, utakuwa una-limit reach ya huduma zako. hebu fikiria, vodacom,celtel,etc wanaingia gharama kiasi gani ku-run milingoti yao!

..tatu, duniani hamna cha bure. point is provider wakiwa kadhaa na wasipo-form a cartel, bei za huduma zao huwa nafuu.
 
Back
Top Bottom