GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,876
Ama hakika Wewe ndiye Jembe la ukweli na ndiyo maana umeweza Kukaa Gerezani kwa miezi hiyo Minne na bado umetoka huko ukiwa imara zaidi huku ukiwa hata wasiwasi wa Kuondokewa na Mtu ambaye ulikuwa unamuamini na kumkubali sana tu.
Ama hakika Wewe ni Jembe. Na Mimi GENTAMYCINE nawashauri mno wana CHADEMA wenzangu popote pale mlipo kuwa kwa Kitendo hiki cha Mwenyekiti wetu Mpendwa Kukaa huko Gerezani kwa hiyo Miezi yote Mitatu huyu Mbowe ( Mwenyekiti wetu ) tumuache tu atuongoze Milele au mpaka pale tu atakapoona amechoka au vinginevyo.
Na nadhani pia Mwenyekiti wetu Mbowe anastahili Tuzo Kubwa kutoka Kwetu kwani katika Kumbukumbu yangu sijawahi Kuona Mwanasiasa wa Upinzani ambaye amekaa Gerezani kwa Kipindi hiki Kikubwa alichokaa Mwenyekiti wetu Mpendwa Mbowe hivyo anatudai pongezi na Zawadi zetu ili tuzidi Kumpa Moyo na aweze kuwa na ' Mkakati ' Maalum wa Kuwatoa Madarakani CCM na Serikali yake na Mimi kwa ninavyomuona Mbowe anaweza kabisa na hata Mwakani 2020 nashauri tumpitishe tu huyu huyu Mwenyekiti wetu ( Mbowe ) agombee Urais nina uhakika wa 100% kuwa atashinda na kuanzia November 2020 Tanzania hii hii itakuwa chini ya CHADEMA na Tanzania yetu itapata Maendeleo makubwa mno.
Nawasilisha.