Karibu Rwanda:Investment Yes,Corruption NO

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Haya wandugu ukiingia kwa wenzetu suala la rushwa halichekewi.Watanzania wengi nasikia waingia lipango kwa kujaribu kuwahonga polisi wa huko.
RWANDA TRIP 334.JPG
 
Nijuavyo mimi pr Kagame is the most corupt pres in the rest of Africa, Nitarudi baadae......
 
Nijuavyo mimi pr Kagame is the most corupt pres in the rest of Africa, Nitarudi baadae......

Without search no right to speak!

What prove do you have to support your allegations?
 
Nijuavyo mimi pr Kagame is the most corupt pres in the rest of Africa, Nitarudi baadae......
Pamoja na excesses zake namu admire sana Kagame kwa kuweka discipline kwenye serikali yake. Kama unayo madudu weye yabandike tu na ukweli utajulikana
 
huku TZ sifa ya kuwa mtawala kupitia chama tawala lazima uwe mtoa na mpokeaji mzuri wa rushwa
 
Paul kagame yupo serious sana, Rwanda inasonga mbele kimaendeleo! TUTABAKI NA AMANI NA UMOJA WETU WA KIPUUZI WAKATI UMASIKINI UMEKISILI.
 
Back
Top Bottom