Karibu nyumbani Balozi Dkt. Nchimbi. Pia chukua tahadhari, mambo yamebadilika sana

Wewe sasa unamshauri Dr. Nchimbi huyu alowahi kushika nafasi kubwa Ccm,mbunge,waziri,balozi nk. Msomi kabisa na mwanasiasa machachari.
Haya wewe ninani na umeshika nafasi gani? Tafuteni wakuwashauri jamani mtu kakuzidi kilakitu alafu unahangaika kumshauri!!
Yamekuwa hayo?
 
Ni kapu moja na Dr. Msukuma....
Usini chekeshe mkuu na kunikumbusha jamaa mmoja ambae alitokea chama fulani ili apate nafasi ya kugombea URAIS alilazimika KUJISHONEA NA KUJIVIKA JOHO! ili aonekane naye Ni msomi!! Yaani watu wana vituko
 
Wangejua mishale tuliyopitia kwenye kuipata PhD wasingeleta mzaha huu.....mtu anafurahia tu kuitwa doctor, wakati wenye taaluma wala hawana wenge la kuitwa doctor.
 
Lakini kalejea kimkakati ( kamati ya ufundi) Sasa hapa ikitokea ushetani unamuingia anakuwa upande wa team majaliwa tutalajie nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukuma gang mbona mna-panic??
hawa kwa ushauri watafute chama wajiunge nacho au lah wakae tuli wawe watazamaji washuhudie namna mpira unavyosogezwa kwa pasi murua.

Yaani ni kama jamaa anameza tonge wewe unameza mate kumsindikiza 🤣🤣 maisha haya wakuu.
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Huyu anafaa sana kwenye Chama. Naona Mzee Mangula kashazeeka na pia ni very conservative. The post needs new blood
 
Yetu macho
a1e4467e2afc4d888ec9b36cfd3bcdb7.jpg
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Hana lolote huyo jambazi wa siasa za kitanzania.. msaanii wa kisiasa. Ukweli ni mbinafsi na mroho mkubwa wa ukuu na mali.
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Kwanza acha ujinga wa kumsema jakaya,kafanya mengi sana kwa maendeleo ya nchi hii,huyo nchimbi hana maana yoyote kwani wewe hujui kuwa alitaka kumuua jane mihanji kwa kuwa akigombea nae uenyekiti wa vijana ccm?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom