Karibu nyumbani Balozi Dkt. Nchimbi. Pia chukua tahadhari, mambo yamebadilika sana

Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
huwa hata sielewi ni kitu gani kinafanya nchimbi aogopwe, tangu pale alipoonekana anaimba "tunaimani na lowasa".
 
Nchimbi ni heavyweight kwenye siasa zetu. Haogopi mtu! Labda JPM kumtoa Bongo imesaidia kupunguza influence yake lakini si mwepesi.
 
Safu ya mafisadi Inaendelea kupangwa upya,Mangula ukweli na uzalendo wako vimekuponza.Msoga ndo anaratibu haya mambo
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Umekuja hapa kutia Mkwara Ewe Mh dr Nchimbi ili watu wakuogope?
 
Hizi tabia za kutegemea siasa au teuzi za serikali ili kuendesha maisha yako ni za ovyo sana, uzoefu alionao aende sekta binafsi na yeye afungue kampuni aajiri wengine, wengine wanaandika kama hakupiga imekula kwake, mentality za ufisadi hizi na kufikiri serikali ni sehemu ya wizi na kujitajirisha, watu lazima wajue sekta binafsi ina opportunity nyingi mara milioni kuliko serikalini, tubadilike
pointi. Mtu amekuwa balozi almost 10yrs unamrudisha serikalini kwani hakuna watu wengine?
 
Back
Top Bottom