Karibu nyumbani Balozi Dkt. Nchimbi. Pia chukua tahadhari, mambo yamebadilika sana

Hii kubwa kuliko.
👇🏾
Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.
 
Mtu wa mipango sana huyu , bila shaka atakuwa anarudi kimkakati,
 
Mtu wa mipango sana huyi, anarudi kimkakati, Jiwe mwenyewe alimuogopa akaamua kumpeleka huko Latin America
Mtu wa mipango gani hiyo, miaka yote unaishi kwa siasa za makundi, ruzuku za chama na kutegemea teuzi tuu, karudishwa tuu mama kaweka mtu wake anayemtaka, hata ubunge bila polisiCCM na bao la mkono hawezi kupata
 
Nchimbi anakuwa makamu wa mwenyekiiti tz bara, wanamtoa mangula
Wewe ndio umewaza vyema kimantiki.
Ngoja tusubiri muda maana jamaa hakubaliki na Sukuma gang wala Msoga gang kwa sababu alikuwa chawa wa Lowassa. Sijui ataingizwaje kirahisi japokuwa ni mission planner mzuri wa siasa za rafu ndani ya CCM katika kuusaka urais, hivyo kwa jinsi mama Samia alivyokaliwa shingoni na alivyo mahututi kisiasa ni lazima ataokota watu kama Nchimbi ili kupush ajenda yake ya kubakia madarakani.

Binafsi ninadhani amerejea kukaa benchi mazima. Zama zake zimekwisha.
 
Hivi kweli unampangia mwanaume kazi ya kufanya?
Kama karudi na anategemea kufungua biashara zake je
Nafikiri maisha ya mtu anapanga mwenyewe labda amshirikishe ndugu au mke wake

Kama mnaelewa mtu akiingia siasa mpaka anafia humo basi sawa
 
Hajarudi kaa kupenda bali katenguliwa. Angerudi kufungua biashara zake ange-resign
 
Mtu wa mipango gani hiyo, miaka yote unaishi kwa siasa za makundi, ruzuku za chama na kutegemea teuzi tuu, karudishwa tuu mama kaweka mtu wake anayemtaka, hata ubunge bila polisiCCM na bao la mkono hawezi kupata

Songea waliisha mkataa wakampa marehemu Gama!!!
 
Kurudi kwake Kuna watu wanafurahi wakijua kaporomoshwa kisiasa, wapo pia wenye wasiwasi kwamba anarejea tena ulingoni.
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Amezalisha wawekezaji wangapi na kutafuta masoko kiasi gani ya bidhaa za Tanzania?.

Hatuwezi kuwa na mabalozi mizigo
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Vipi kuhusu PhD yake, ni kama ya Msukuma au yeye aliisotea?
 
Ph.D yake kama zilvyokuwa nyingi za Mzumbe wakati huo ni ya kimagumashi kwani aliyemsaidia alizawadiwa kuwa katibu mkuu wa Wizara na huo wadhifa anao mpaka leo!!
Nafikiri ni miongoni mwa waliotajwa kwenye kitabu cha kaneirugaba.....
 
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua.

Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa kuenguliwa na huenda kuna mema umepangiwa.

Balozi Dr Nchimbi, Tanzania sio ile ya kubwatuka na kutengeneza Makundi ya enzi za awamu ya nne alafu mnakigawa chama alafu yule bwana mweupe wa kipindi hicho yeye anacheka tu. Kila siku tabasamu. Saivi ni kuungana na kuijenga nchi Kwanza. Hata hivyo naamini wewe ni mwanasiasa mkomavu, mjuvi na mpimaji wa Mambo.

Najua utaanza kupigwa mawe na kutupiwa kejeli Kama January Makamba. Wewe nyamaza tu huku ukiwaangalia kwani siasa ni mapito.

Mtu hufa na kufufuka ktk siasa. Unakumbuka Ulipo tupo? Hayo Makundi hayana nafasi tena. Tulia tulii ukisubiri Rais kapanga lipi juu yako. Unakumbuka Magufuli alikusotesha muda gani? Lakini si kakukumbuka baadae!!. Tulia Kama ulivyotulia ktk enzi zake.

Pia ukae ukijua unaogopwa mno Dr Nchimbi hivyo chunga kila hatua yako, tendo lako na kila neno la ulimi wako.

Karibu Sana nyumbani Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi tuijenge nchi.
Nchimbi na wewe unaogopwa?👩‍👩‍👧🤣🤣🤣Kwa lipi hasa,Labda ubunge kule kwenu.
 
Back
Top Bottom