Karibu Ndugai Nchini na Pole na safari nzito

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,945
28,401
Wakuu heshima kwenu!
Mpaka Jumatano wiki inayoanza kesho Job Ndugai atakua ameshaingia ndani ya ardhi pendwa ya Tanzania, mimi nasema karibu sana
 
Kha! Watu hamuishi maneno!!! Na Lowasa anarudi lini???
 
Kwahiyo Ndugai mgao haukumtembelea?
Maana alitamka wazi hawawezi kuwa genge la kukumbatia wezi.
Hii Nchi dili lolote linalohusu wakuu wa Nchi inabidi kuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom