karibu nakamilisha hesabu ya kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

karibu nakamilisha hesabu ya kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mbunge wa CCM, Nov 1, 2010.

 1. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah,

  dk chache zijazo itajulikana wazi, jimbo na idadi ya kura nilizoshinda, nina imani kubwa kuwa suti zangu zote mbili zitafanya kazi iliyokusudiwa. hadi sasa naongoza ktk kata 12 kati ya 22, na zilizobaki sina shaka hata kidogo...

  . siku ya kuapishwa JK na sikuya kuapishwa kuwa mbunge

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hongera Mkuu.

  Jimbo gani?
   
 3. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  hongera mkuu lakini kata 10 zilizobaki si ndogo lolote laweza kutokea. let hope for the best. felicitation!
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Chenge-vijisenti vipi jamani?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  HUyo atakua wa kigamboni tu
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Yahaya husein hajafa bado??? alisema kama hafi mtu atakufa yeye
   
Loading...