Karibu mwezi Mtukufu wa Ramadhani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwiba, Aug 11, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhani ,nawatakia kila lakheri Waislamu wenzangu wote popote pale mlipo ,Inshaallah tuukamilishe mwezi huu kwa kufanya ibada na kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rahema na mwingi wa kusamehe.Na tujaribu kadiri tuwezavyo kuwa katika ibada na usafi na kutegemea magh**** kutoka kwa Allah.
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Unaanza tarehe ngapi? Huku nilipo hata msikiti hakuna na ni vigumu kweli kweli kujua tarehe muhimu kama hizi
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  11 August, 2009 Tuesday =20 Shaban, 1430

  Fungua hii website Islamicfinderhapa unaweza ku-download Adhan program za kwenye PC na hata kwenye simu yako (Mobile Adhan).

  Hizi Program za Adhana ni nzuri sana, zina miji zaidi ya milioni sita (6 million) Duniani. Popote ulipo unaweza kusikia Adhana na kusali kwa wakati.
  Na pia zina Islamic Calendar.
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Je Mungu yupo huko ?
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  SAmahani mkuu naomba kuuliza swali,hivi kuana mwezi ambao sio mtukufu? je kama upo ni mwezi upi huo?
   
Loading...