Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

Post yangu uliyoinukuu nimei-edit na inasomeka kama ifuatavyo kwa sasa:

"Kama unachosema ni kweli, na anatumia mkakati wa kibiashara kuzifuta, na iwapo kweli zitafutika, tatizo liko wapi? Ikitokea kweli zikafutika maana yake zina kasoro kubwa, hazikutakiwa kuwepo. Vinginevyo kama ziko safi hazitaftutika na hakuna anayeweza kuzifuta!"

Je bado nimekosea tu kulingana na mtizamo wako
o wako?
Utakuwa unaishi kwa shemeji yako wewe
 
Bujibuji,

Ua hiki anzisha kile,nonsense!

Sifungui chochote humo

Private sekta ni kubwa 85% ya GDP yote,serikali mchumba tu kwa fedha

Hovyooo
Bujibuji Wyatt mathewson kaamua tu kukujibu kijeuri lakini alikuwa anamaanisha hivi:

Serikiali inaua kitu kimoja na kuanzisha kingine kinachofanana na kile ilichokiua.

Yeye Mathewson hatafungua chochote kwenye hiyo benki kama ikianzishwa.

Anasema sekta binafsi ni kubwa kuliko serikali kwani inamiliki asilimia 85 ya pato lote ghafi la nchi.
 
Sasa nimeelewa vyema
 
Mhhhhhhhhhh. Deeply thinking. Who is my best friend behind the intelligent move? Siyo bure
 
Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.

Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.

Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.

Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
kwa maana hiyo sasa kuna haja gani ya kuwa na National Bank of Commerce NBC?
 
Naona wameanza kufunguka kwa wafanyakazi. Sio kimya kimya tena

Cc @bujibuji
IMG-20200117-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom