Karibu kwenye Mjadala kuhusu Biashara Mtandaoni kupitia Clubhouse ya Jamii Forums

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Siku ya Jumanne, kupitia Mtandao wa Clubhouse, Jamii Forums tutaendesha mjadala anuai kuhusu masuala mazima ya Biashara na Mtandao.

Mjadala huu wa wazi utawahusisha wataalam, wadau na watu mbalimbali wanaotumia au kuguswa kwa namna moja au nyingine jinsi Biashara zinafanyika mtandaoni.

Ungana nasi kupitia Clubhouse kuanzia Siku ya Jumatatu (3 August 2021) kuanzia saa 1:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Unachopaswa kufanya ni kutafuta Klabu ya JamiiForums katika mtandao wa Clubhouse au kama haujajiunga na Clubhouse basi pakua kupitia App Store na Play Store kisha baada ya kujisajili utaitafuta Klabu ya JamiiForums na kufuatilia mjadala.

Kiunganishi Cha Chumba Cha Mjadala: Mazingira ya Kufanya Biashara Mitandaoni TanzaniaKwa kiasi - JamiiForums
 
Back
Top Bottom