Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 954
- 510
- Thread starter
- #21
Jamani niwaambie ukuweli, kilimo cha pilipili ni hela. Soko liko tayari linakusubiri wala huitaji kulitafuta. Na bei halikadhalika ishabainishwa ni tsh 4000/= iliyokaushwa kwa kilo. Lakini pia kabla ya kuanza kulima unapewa mkataba wako kabisa wa market assuarance. Haina gharama sana kwenye uzalishaji wake na kwa ekari moja haizidi milioni moja na laki mbili uwekezaji wake.
Kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia namba zangu za simu zilizo chini ya post yangu ya kwanza hapo juu.
Kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia namba zangu za simu zilizo chini ya post yangu ya kwanza hapo juu.