Karibu Kusikiliza Kipindi cha Teknohama - Morning Star FM

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Napenda kuwakaribisha Kwenye usakilizaji wa Kipindi cha Teknohama Katika Morning Star Radio 105.3 fm hapa jijini dare s salaam kuanzia saa 3 Asubuhi siku ya jumapili yaani Kesho .

Kesho tutaongelea masuala ya Ulinzi na Usalama haswa kwenye mambo ya Programu kama Antivirus na mengine mengi , karibu sana kwa kuuliza maswali ambayo yatakuwa tutajibu moja kwa moja , maoni na ushauri mwingine ambao utauweza kuutoa kwenye kipindi hicho .

Karibu tutumie nafasi hii katika kuelimisha jamii yetu kuhusu masuala mbalimbali ya teknohama Tena kwa lugha yetu Nzuri ya Kiswahili .
 
Back
Top Bottom