Karibu kundini mwana mpotevu ila umekatwa mkia

Mlisema kanunua chama je kakiuza kwa nani au pesa yake imerudi na faida kapata Nb punguzeni unafiki mtavutwa ndimi mkifa kalibu tena jamvini mteule wa magogoni
Hana haja ya kukiuza tena maana amekingoloa kila kitu, wabunge wenu na madiwa warejea chama tawala. Chama chenu hakiuziki tena amekitupa jalalani maana hakifai tena Hakuna wakukiokoa wengine wananyea debe segerea wengine wanatembelea magongo huko walipo, wengine wameshona midomo yao , hali ni tete hali si hali chadema kifo cha mende! Asante EL kazi tuliyokutumma umeimaliza.

Najua mioyoni mnaumia lkn hakuna namna chimbeni kaburi zikeni chadema anzisheni chama kingine, mkishindwa rudini kundini japo mtakuwa hamna mikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlisema kanunua chama je kakiuza kwa nani au pesa yake imerudi na faida kapata Nb punguzeni unafiki mtavutwa ndimi mkifa kalibu tena jamvini mteule wa magogoni
Mleta uzi ni miongoni mwa wanaccm waliomtukana Lowassa matusi ya nguoni , alishafikia kuandika humu kwamba Mh anajinyea , leo wanapoandika haya sisi wengine tunajichekea pembeni tu
 
Kazi tuliyokutuma uliifanya kwa ufanisi mkubwa na waliobaki kule ulikotoka kimkakati wanaendelea kutupa ushirikiano mzuri.
CCM ndiyo kabisa,watakaposambaratika ndipo watakapokuja kungundua kuwa wanaowapokea kwa mbwembwe nyingi kutoka upinzani ni vibaraka wa upinzani waliotumwa na wapinzani kuwanyia kazi ndani ya CCM.
 
Hana haja ya kukiuza tena maana amekingoloa kila kitu, wabunge wenu na madiwa warejea chama tawala. Chama chenu hakiuziki tena amekitupa jalalani maana hakifai tena Hakuna wakukiokoa wengine wananyea debe segerea wengine wanatembelea magongo huko walipo, wengine wameshona midomo yao , hali ni tete hali si hali chadema kifo cha mende! Asante EL kazi tuliyokutumma umeimaliza.

Najua mioyoni mnaumia lkn hakuna namna chimbeni kaburi zikeni chadema anzisheni chama kingine, mkishindwa rudini kundini japo mtakuwa hamna mikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwewe kaachiwa leo jumapili, hata mahakama sorry kikundi cha makarani kimefungua, hili lilikuwa ni ransom kumbe hela ni lowassa, pole tanzania
 
Umetumia uamuzi wa busara kurudi nyumbani. Kabla ya hapo umetusaidia kuwarejesha wabunge na madiwani wa upinzani tuliowapoteza kwa sababu yako.

Umetusaidia kudhoofisha washindani wetu kisiasa na hadi sasa hwajui nini cha kufanya baada ya kurejea kwako.

Kazi tuliyokutuma uliifanya kwa ufanisi mkubwa na waliobaki kule ulikotoka kimkakati wanaendelea kutupa ushirikiano mzuri.

Katika siasa kuna gharama zake. Ulienda kule kwa bahati mbaya sana umekatwa mkia. Kurudi kwako kundini kila mtu anakuona hata kama utakuwa mbali.

Nikushauri tu kuwa ile kiu yako ya kuwa Namba Moja Tanzania ipotezee. Kwansasa hakuna uwezekano tena. Imeshindikana 1995 na 2015 haitakuja kuwezekana milele

Karibu kundini japo umekatwa mkia
Nyalandu na Sumaye watakuwa wanaangaliwa kwa machale sana. Lowassa kavuruga kila kitu chadema. Kazi nzuri sana kafanya. Sasa anaweza enda chunga ng'ombe wake Monduli kwa amani baada utulivu baada ya kukitumikia chama.
 
Nikushauri tu kuwa ile kiu yako ya kuwa Namba Moja Tanzania ipotezee. Kwansasa hakuna uwezekano tena. Imeshindikana 1995 na 2015 haitakuja kuwezekana milele
Hili bado mnalo, Safari ya matumaini haijafika mwisho ndio inakuja kuanza upya.
 
Usijifanye hujui kilicho mkimbiza Chadema! Chama kinakuja na dhoruba mpya kabisa ambayo haijapata kuikumba ccm toka kuumbwa kwake. Ukiona mpaka haya mabadiliko ya leo barazani ujue ni mkakati wa kupambana na dhoruba hiyo.
Siasa itakapo rudishwa kuwa ya wazi ndio hapo ccm itakapojua imewakifu watu kiasi gani, mfano kule kusini ndio usiseme kabisa ccm itachakazwa kama mbwa mwizi.
Hata mgonjwa mahututi hupewa matumaini ya kupona, kwa hiyo siyo vibaya kuendelea kujipa matumaini hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asiende na yeye jana kinafiki anasema eti hawezi kuongea anajifanya kulialia.
Hoja ya siku Lissu anashambuliwa alikua dodoma kashindwa kabisa kujitetea
Nilishangaa,nafsi inamsuta. Anatakiwa aombe msamaha.
 
Mleta uzi ni miongoni mwa wanaccm waliomtukana Lowassa matusi ya nguoni , alishafikia kuandika humu kwamba Mh anajinyea , leo wanapoandika haya sisi wengine tunajichekea pembeni tu
Vijana wa Ufipa ndiyo waasisi wa kumtukana Lowasa au hukumbuki zile kauli zenu et ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu fisadi kama Lowasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mapokezi yale aliyoyapata pale lumumba nadhani yule mkia bado anao!

Ni nani aliwahi kupokelewa kwa mtindo ule alipojiunga au kurejea CCM?!

Nipo hapa kwa TB Joshua
Maendeleo hayana vyama!
Umesahau wale kina Katambi na Msando waliopokelewa Ikulu?
 
Hana haja ya kukiuza tena maana amekingoloa kila kitu, wabunge wenu na madiwa warejea chama tawala. Chama chenu hakiuziki tena amekitupa jalalani maana hakifai tena Hakuna wakukiokoa wengine wananyea debe segerea wengine wanatembelea magongo huko walipo, wengine wameshona midomo yao , hali ni tete hali si hali chadema kifo cha mende! Asante EL kazi tuliyokutumma umeimaliza...
Duh, amekikongoloa kila kitu.
 
Siasa za Tanzania zilikuwa zinamkosa mtu kama Lissu. He is reasonably aggressive kwa kutumia sheria. Alikuwa anamiss kitu kimoja tu ambacho sasa amekipata, international arena and recognition. I can't wait for 2020 election, Lissu hasiti kuwaambia watu waingie barabarani kudai haki zao. Na nina imani kubwa atachota 90% ya kura za Zanzibar kutokana na siasa zake za.Muungano. Na ndio maana tumeanza kuona team nyengine ishaanza kupanga safu yake mapeema starting from today!
Hiyo inaitwa kujipa matumaini hewa Lissu atagombea Urais kupitia chadema na atashindwa vibaya tena vibaya kuliko wagombea wote waliowahi kushindwa katika historia ya vyama vingi, na hakuna kijana anayeweza kukubali kufanya upuunzi kwa ajili ya huyo kibaraka wa wazungu na ikitokea akafanya hivyo kwani ikitokea tukaangamiza mbwa 200 ili nchi ibaki salama kuna tatizo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumia uamuzi wa busara kurudi nyumbani. Kabla ya hapo umetusaidia kuwarejesha wabunge na madiwani wa upinzani tuliowapoteza kwa sababu yako.

Umetusaidia kudhoofisha washindani wetu kisiasa na hadi sasa hwajui nini cha kufanya baada ya kurejea kwako.

Kazi tuliyokutuma uliifanya kwa ufanisi mkubwa na waliobaki kule ulikotoka kimkakati wanaendelea kutupa ushirikiano mzuri.

Katika siasa kuna gharama zake. Ulienda kule kwa bahati mbaya sana umekatwa mkia. Kurudi kwako kundini kila mtu anakuona hata kama utakuwa mbali.

Nikushauri tu kuwa ile kiu yako ya kuwa Namba Moja Tanzania ipotezee. Kwansasa hakuna uwezekano tena. Imeshindikana 1995 na 2015 haitakuja kuwezekana milele

Karibu kundini japo umekatwa mkia

Kamkimbia Tundu Lissu.
 
Huyu mkia wake upo tena umesimama juu. Aliondoka, akafanya aliyofanya na sasa amerudi. Hakwenda upinzani kuwa raisi, angetaka kuwa raisi angebaki chamani ili kuvuruga. alikwenda upizani kusafishwa, akasafishwa halafu akakubalika sana. wale wasiojua mambo yanaendaje wakawa wanamchafua tena wakidhani hana madhara huko upinzani kumbe Mwenyekiti wao na katibu watampokea kwa tabasamu pana.

Waliokatwa mkia ni wale wasiojielewa wanataka nn na Kuhama hama bila mpango. Lowasa anajua anachotaka. Inaonekana anachotaka Ni Madaraka ya juu kabisa ya nchi au Kusafishwa na wanaomchafua. Alipoona jina limekatwa alijua hawezi kuyapata madaraka tena akaamua asafishwe. Hili amelipata.
 
Hiyo inaitwa kujipa matumaini hewa Lissu atagombea Urais kupitia chadema na atashindwa vibaya tena vibaya kuliko wagombea wote waliowahi kushindwa katika historia ya vyama vingi, na hakuna kijana anayeweza kukubali kufanya upuunzi kwa ajili ya huyo kibaraka wa wazungu na ikitokea akafanya hivyo kwani ikitokea tukaangamiza mbwa 200 ili nchi ibaki salama kuna tatizo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hao mbwa 200 mmoja atakuwa mamaako, jiandaeni tunaenda kuuwasha moto wa fitna 2020.
 
Ccm waongo kinoma.mnatudanganya mlimtuma kuwafanyia kazi.wakat mzee alikua siriaz kabisa kubeba nchi na watu wote tuliona..leo mnajifanya mlimtuma....nyie ndo mana mnaitwa nyumbu
 
Back
Top Bottom