Karibu kauli zote mbaya humu MMU za wanawake, ni za wadada wabaya!

Status
Not open for further replies.

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Wadada wabaya ndio wanaoongoza kwa kauli mbaya.

Mara nyingi nikienda maofisini kutafuta huduma mbalimbali napokelewa na akina dada. Sasa katika "observation yangu for years". Nimekuja kugundua kuwa wadada wengi wabaya (tabia, roho, wanavyovaa, makeup, moods zao, feelings, mawazo, perception zao towards themselves (kujikubali au kujikataa) and towards others, namna wanavyochangamana na watu, communication skills, etc., - hivi vyote na vingine ndivyo vinawafanya akina dada wawe wabaya au wazuri) wana kauli chafu/mbaya.

Utawakuta muda wote wana hasira, hawako tayari kukusikiliza au kukuhudumia, yaani watakuhudumia kwa kujilazimisha wee mpaka kero. Usiombe afungue mdomo kama unamwuuliza kitu, kauli yake unaweza kuzimia!

Lakini wadada wazuri ukikutana nao, hata kama ulikuwa unamtafuta The Boss - labda, Manager, Mkurugenzi, Headmaster, dah, shida yako inaweza kuishia hapo!

Yaani unakuta mdada sauti nyororo (natural, sio ile fake kama Mmarekani), anakusikiliza vizuri, halafu anakuangalia machoni, macho safi yanang'aa halafu yanablink blink kidogo kwa mbali, aibu kidogo ya kishikaji, amevaa vizuri, halafu anapendeza, hakuna kitu chochote fake mwilini mwake (vinavyoonekana, huko ndani sjui, anajua yeye).

Wadada wazuri mara nyingi wamenikaribisha vizuri "Mambo kaka? Karibu, karibu kiti, nikusaidie nini kaka? Kama ukimweleza umepata shida kuhusiana na huduma fualani, utasikia "Pole mpenzi", akiwa romantic sana "pole mpenzi wangu, nafuatilia swala lako sasa hivi", etc.,

Sasa ukitaka kujua wadada wazuri au wabaya kwa sifa nilizozianisha hapo juu. Fuatilia comments zao au kauli zao humu Jf, hawajifichi ng'o. Hata kama huwajui lakini haiwezekani "consistently" mtu akawa na kauli kama maji ya ndimu, ndio tabia zao. Kwa hiyo, wale mnaodate online hasa Jf, kama unataka/hutaki garasha, anza na comments au threads zake.

NB: Sitaji mtu, sitaki kesi. Over
 
Last edited by a moderator:
Heaven on Earth umeshaaanza kuharibu professional za watu. Najua hapo masecretary hili linawagusa kwa karibu ngoja waje watupe uzoefu wao!
 
It was only yesterday we were discussing this mada na kwa mara ya kwanza nimecredit ulichoandika jamani wengi wana roho mbaya halafu ndo uwe mwanamke utakavyojibiwa na kukatwa jicho. Lo ngoja nisiseme zaidi
 
Mh huu utafiti hauna mashiko umesikia huko customer care za 100 tigo na wengineo alafu unaleta conclusion...... tafiti tena mkuu kwa njia mpya.......
 
Mwacheni mtaalam wa tafiti afanye kazi zake jamani.

huyu kwa tafiti simuwezi, mara wadada wa mbezi sijui kimara..... yaani kila kukicha ana jipya. shkamoo babu. vipi xmass? nawahi mapema staki foleni
 
Kauli kama maji ya ndimu...ama umeniacha hoi.

Ningekuwa 'boss' huyo mfanyakazi anayelalama 'mpenzi mpenzi' kwa kila mgeni anayeingia ningefukuzilia mbali.....
 
huyu kwa tafiti simuwezi, mara wadada wa mbezi sijui kimara..... yaani kila kukicha ana jipya. shkamoo babu. vipi xmass? nawahi mapema staki foleni

Marhabaa

Wala usijali. Tutakodi helikopta ya Ndesamburo. We kaa hapa tuendelee kufuatilia tafiti bana.
 
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom