Karibu kauli zote mbaya humu MMU za wanawake, ni za wadada wabaya!

Status
Not open for further replies.
................ Hayupo sijui alipo ........... Mpigie simu yake ya mkononi ................. Namba yake kaulize pale geitin............... Kwaheri.
 
Kuna mmoja nimemuwekea kiporo maana ana kauli chafu kama chemba la choo
 
we umekuja Ofisin na shida zako nianze kukwita Mpenzi .eti pole mpenzi kwa mtonyo gani!!!!!
Ndio manaake... lazima uniite.

lolest!!!!
he must be insane......!
You must be jealousy

It was only yesterday we were discussing this mada na kwa mara ya kwanza nimecredit ulichoandika jamani wengi wana roho mbaya halafu ndo uwe mwanamke utakavyojibiwa na kukatwa jicho. Lo ngoja nisiseme zaidi
Sura zao mbaya..wanakutamani sema we hujui

we naweee! tuacheni tupumue.

Kuweni wakarimu mbona mtapumua na nyuso zitanyooka
namshanga!!! ukimuita mpenzi atarudi aseme umejirahisi. binadamu hawana jema.

Nitarudi kuja kupata huduma/bidhaa tena na tena.
huyu kwa tafiti simuwezi, mara wadada wa mbezi sijui kimara..... yaani kila kukicha ana jipya. shkamoo babu. vipi xmass? nawahi mapema staki foleni
Tafiti muhimu

na nilitaka niandike hako ka sentensi nikaweka kapuni asante kwa kukamalizia shoga angu

Definition ya "Wadada wabaya" please!!
Hiyo hapo, we tazama wanavo jibu.
 
................ Hayupo
sijui alipo ........... Mpigie simu yake ya mkononi .................
Namba yake kaulize pale geitin............... Kwaheri.

Kwa mujibu wa tafiti hii,mwenye jibu hili atakuwa na sura kama ya bundi!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom