Karibu katika shule ya Ushonaji

Sangwa

Member
Nov 20, 2018
28
10
💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥

âš«JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side hustle ujiongezee kipato? Karibu uweze kujiunga na darasa letu la ushonaji @angelic_threadstz ili uweze kujipatia ujuzi utakao kusaidia kujiajiri/kuajiriwa.

âš«Gharama zetu ni nafuu Sana na tunatoa mafunzo ya uhakika kwa muda mfupi ambayo yatakuwa na manufaa kwako kujikwamua kiuchumi.

âš«Nafasi zetu ni chache mno hivyo wahi mapema. Tunapokea wanafunzi jinsia zote (KE na ME) wenye uwezo wa kusoma na kuandika na wanapatiwa cheti ( certificate) mwisho wa mafunzo haya.

âš«Wasiliana nasi kupitia namba 0763712704/ 0713353825 au kurasa yetu ya kijamii @angelic_threadstz

âš« Pia unaweza kujiunga na WhatsApp ambayo inakuwa active kwaajili maswali, majadiliano na kuelimishana zaidi, Link ipo kwenye BIO hapo yetu.

âš«Pia unaweza kufika offisi zetu kuchukua fomu na kufanya malipo zilizopo Kinondoni Manyanya/Barabara ya kinondoni / Opposite na American chips. KARIBUNI SANA!!
⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛
#ushonaji #jifunzekushona #shuleyaushonaji #fashionschool #jifunzecherehani #kushona #darasalaushonaji

IMG_20210302_141504_451.jpg
 
ungeeleza angalau mnapatikana wapi, hili ni muhimu sana kwenye taarifa zako za mwanzo.
 
ungeeleza angalau mnapatikana wapi, hili ni muhimu sana kwenye taarifa zako za mwanzo.
Pia unaweza kufika offisi zetu kuchukua fomu na kufanya malipo zilizopo Kinondoni Manyanya/Barabara ya kinondoni / Opposite na American chips. KARIBUNI SANA!!
 
Back
Top Bottom