KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Jul 30, 2013 2,061 545 May 23, 2014 Thread starter #4 unaona picha ya kwanza polisi wanatumia gali gani utafananisha na bongo yakoooo!!!! mwenemti said: ndio nini.....!? Click to expand...
unaona picha ya kwanza polisi wanatumia gali gani utafananisha na bongo yakoooo!!!! mwenemti said: ndio nini.....!? Click to expand...
kashesho JF-Expert Member Oct 19, 2012 4,976 2,465 May 23, 2014 #6 ukipitia tandale kwa tumbo umefika ni maeneo ya kwa bi nyau
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 May 23, 2014 #7 Mbona sawa tu na yale magari yanayotumika pale kwa mfugambwa nyakati za usiku..
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 May 23, 2014 #8 Niliwahi kuwaona jamaa wanakatiza nayo hii maeneo ya kambi ya fisi